Hatimaye waziri shoga nchini Marekani ala kiapo kulitumikia Taifa

So ndio nimeshangaa watu walivyokuwa Wana react .. Bila Shaka hawajui maana ya msahafu ninini!!?
Tatizo la kudandia mambo na kuchukua mengine kwenye vijiwe ndilo linafanya kuwepo kwa binadamu kama wale.
 
Itafika kipindi tutaona ni kawaida tu, mda utaongea
[emoji848],Sasa ndo nimeanza kumuelewa huyu jamaa sijui Elon musk,ambae amekomaa na space x,2035 asepe zake sayari ya mars kimaisha forever.maana ameona kwa uchafu unaondelea dunia sio salama tena kuishi.
 
Bwana ana huruma atawasamehe hawa pamoja na genge la jiwe!!
آمين.
لقد كتبت نصًا كبيرًا جدًا.

Hapo ndipo unashangaa, watenda maasi yote unayoyafaham kuna muda wakirejea miguuni mwa Bwana wa Majeshi na kuomba msamaha, wanaensa kura bata kwenye kiti cha Enzi.
 
Mambo kama haya mnayaleta humu ya nini? sasa mnatuletea ili tufanye nini, tutalaani tu lkn itasaidia nini na watu wako huko Marekani thousands of kilometers away. We're not concerned with their evil.
 
Mambo kama haya mnayaleta humu ya nini? sasa mnatuletea ili tufanye nini, tutalaani tu lkn itasaidia nini na watu wako huko Marekani thousands of kilometers away. We're not concerned with their evil.
Hujui maana ya influence issues mkuu?
 
Maandiko yapi? Yali walio tuletea wao? Au maandiko ya Dini zetu wenyewe za Kiafrica?
 

Ondoa neno inasemekana ,huyo ni 100% Mchicha Mwiba aka Boflo aka Sigara kali aka NGAPULILA aka Mkasi.
 
Democrats huwa nawakubali kwa Mambo Sana Ila Hilo la ushoga huwa wananikata stimu Sana .

Wanazingua Sana .

Repbulican huwa nawakubali hawajihusishi na haya Mambo sema wabaguzi vibaya sanaaaa

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Tunahangaika na mambo mengi yasiyotuhusu mno mpaka inakera! Awe shoga au asiwe shoga hainihusu!
 
Ubarikiwe sanaaaaah [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…