Hatimaye waziri shoga nchini Marekani ala kiapo kulitumikia Taifa

Kinachoniacha hoi ni hiki, wa africa wanaijua dini kuliko wale wenyewe walio ileta, yaan huwa sielewi kwa kweli nabaki kuduwaa na kushangaa tyuuh.
 
Mimi binafsi sioni tatizo kwa mtu kama huyo kuapa akiwa ameshika kitabu kitakatifu cha dini, maana hata hawa viongozi wasio mashoga nao hushika pia ili hali tunajua ni watu wa dhuruma kubwa na unyanyasaji kwa wanadamu wenzeo. Mungu ndio atakae muhukum, yeye ashike tu na atumikie taifa, anaweza akawa na ushoga wa kimwili na wengine wakawa na ushoga wa kiakiri ambao ndio mbaya zaidi.
 
Shoga hana sifa ya kuitwa mwanaume, james delicious huwezi ukamweka kwenye kundi la wanaume la sivyo utakuta wameshampa ujauzito. Hivyo swala la kusisimuka mtu akimuona mwanaume mwenzake ni gumu ila kwa shoga mtu anaweza kusisimuka mana shoga anakuwa na vipengere vya kike na uume wake mara nyingi hauna uwezo wa kufanya chochote.
Hili jambo si jema na mm sikubaliani nalo laikin wenzetu wanangalia misingi ya kibinadamu zaidi, na ndio maana ikapewa go ahead, kila mtu apate haki yake ya kidunia
 
Kwani ulianza kujua ushoga upo lini?
 
Naam. Na hii ndio hoja yetu humanists. Si mambo yote wayaaminio wengine, na wengine wanakubaliana nayo, tunaamua kukubaliana kila mwanadamu ana uhuru na maamuzi yake Ambao unapaswa uheshimiwe na ulindwe so long haathiri maisha ya wengine.
 
Sio tu suala la Watoto kuhamasishwa ushoga, mapenzi kwa ujumla wake ni kosa na sio sahihi kwa watoto. Ndio maana hata filamu ziko rated kulingana na umri.

ushoga afrika umeanza lini mkuu?
 
waziri anatiwa gunzi kmmmk dah dunia simama nishuke πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tutabishana sana, uwezo wa kufikiri upo tofauti.
cocastic [emoji1489]
Sielewi nyie mnabishana kuhusu nn, naona mnapeana tu maswali, kwani huyo waziri shoga si ameshaapa? Sasa nini kingine mnataka? Mumuache waziri atimize majukumu yake.
 
waziri anatiwa gunzi kmmmk dah dunia simama nishuke [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana, nimeshindwa kujizuia kwa kweli.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana, nimeshindwa kujizuia kwa kweli.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sielewi nyie mnabishana kuhusu nn, naona mnapeana tu maswali, kwani huyo waziri shoga si ameshaapa? Sasa nini kingine mnataka? Mumuache waziri atimize majukumu yake.
Akikujibu naomba nitag 😭!
 
Issue ya ushoga haina udini Ila ipo kwenye nguvu ya mtu mwenyewe na tamaduni za nchi husika mfano zamani mababu zetu tamaduni zetu zilikuwa wanaume kuoa na mwanamke ndo mke hakuna ujinga wa ushoga maana ilikuwa ni kinyaa na aibu kubwa hivyo tamaduni Zina nguvu kulinda jamii kuliko dini zikiwezeshwa na serikali katika mifumo ya kutunga Sheria, dini hazina serikali na serikali haizitambui dini kwenye kuendesha mambo yake na tamaduni za nchi zake ndo maana unaona mambo Kama hayo yanakuwa hivyo Ila ingekuwa huku nguvu ya tamaduni ingeiabisha serikali na watu wangechukia kuchaguliwa kiongozi wa hivyo.
 
Usha soma Historia ya Ushoga Marekani? Shida kuu nyie hamsomi mnasubilia story za Wakina Mirado Ayo.

Mkuu soma Historia ya Ushoga huko Marekani uone walivyo kuwa na sheria kari sana kuhusu Ushoga. Mashoga enzi hizo walikuwa hata wanauwawa na raia wameua mashoga wengi sana, kuna walio kuwa wanafungwa ila zote hizo hazikumaliza tatizo.
Ni kuulize sheria kari ya kuua imemamliza tatizo la kuua?vipi Ubakaji? Umeisha?
 
Ujue kitu ambacho watu hawajui Hata huko Marekani enzi hizo walikuwa na sheria kari sana kuhusu Mashoga, Marekani Mashoga walikuwa wanauwawa sana na kufungwa jera tena miaka ya 1970+ tu walikuwa wanafunga watu.

Δ°la haikusaidia kitu na wala haikupunguza,

Watu wasome historia za Ushoga Marekani
 
Muambie huyo aelewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…