Hawa hapa 30 bora,(Top Bongo Music Beast) watoto wa mjini, bila hawa Bongoflava isingekuwepo

Hawa hapa 30 bora,(Top Bongo Music Beast) watoto wa mjini, bila hawa Bongoflava isingekuwepo

Hii hapa ni list ya wasanii wa bongo hiphop, kizazi cha zamani kilichoshine wakati wote.. waasisi wa Bongoflava.

Kipindi hicho Tanzania kukiwa na radio tatu tu na TV moja ya burdani, yes *EATV

Credits to MJRecords, Bongo Records....

Mambo yalikuwa sawa sana mpaka pale muovu alipoingia akaharibu mziki wa bongo kwa kuingiza siasa za CCM na show uchwara za kwenye vumbi... you may rest wherever you deserve man.

Nazungumzia mziki wenye maudhui(content) ambapo popularity and fame is earned .

Ladies and Gentlemen, the Golden awards goes to:

1. Jay Moe..
2. Langa Kileo R.I.P
3. Mr. Blue
4.Ngwair. R.I.P
5.Q Chillah
6. Solo Thang
7.Dully Sykes
8. Mr Paul.
9.Balozi
10.Mr 11 aka Sugu
11. TID
12. Jay Dee
13.Prof Jay
14.Mwana FA
15. Yessaya.
16.Ferouz
17.Juma Nature
18. Fid Q
19. Inspector Haroun
20.Seleman Msindi
21.O ten.
22 Daz Baba,
23.Godfrey Tumaini. aka Dudu Baya
24.Stara
25.Mb Dogg
26.Chegge
27. Temba
28.Josline.
29.Chid Benz
30. Mr. Nice.

Godzila (R.I.P) , Thanks for your life man.
Mtake radhi kubanda
 
1. Jay Moe 2. Solo Thang 🔥🔥🔥
 
List Haina master jay wala punk..wala Mika mwamba...
Mnafikiri kupiga makelele kwenye majukwaa bila beatmaker inawezekana?
Hamuwajui hata kwanza unit wala hardablasters..wala Muasisi original Saleh Jabri...wala weusi wagumu asilia...Dar young mob
Kina vichwangumu...
Diplomats...Etc...msiongee vitu hamvijui...
Eti Nay wa Mitego nae Muasisi..
Seriously?
Nakuelewa mkuu..
Hard blasters wanawakilishwa na Jay.
Kina Mika Mwamba yes ...
MJ na Punk nimewaweka mwanzo kabisa kama umefuatilia...
Ney wa mitego ni maoni ya mdau.. nayaheshim.
 
images (9) - 2023-09-10T115427.167.jpeg

Before flash & memory cards
 
Back
Top Bottom