Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mule muleLWP (majitu)
Mabaga Fresh
King Sepeto
Hashim aka Dogo
Big Dog Posse
GWM
Manzese Crew
Jaffarai
Solid Ground Family
Jos Mtambo
Manduli Mob
Baba na Mimi nakupa 30 zingineHii hapa ni list ya wasanii wa bongo hiphop, kizazi cha zamani kilichoshine wakati wote.. waasisi wa Bongoflava.
Kipindi hicho Tanzania kukiwa na radio tatu tu na TV moja ya burdani, yes *EATV
Credits to MJRecords, Bongo Records....
Mambo yalikuwa sawa sana mpaka pale muovu alipoingia akaharibu mziki wa bongo kwa kuingiza siasa za CCM na show uchwara za kwenye vumbi... you may rest wherever you deserve man.
Nazungumzia mziki wenye maudhui(content) ambapo popularity and fame is earned .
Ladies and Gentlemen, the Golden awards goes to:
1. Jay Moe..
2. Langa Kileo R.I.P
3. Mr. Blue
4.Ngwair. R.I.P
5.Q Chillah
6. Solo Thang
7.Dully Sykes
8. Mr Paul.
9.Balozi
10.Mr 11 aka Sugu
11. TID
12. Jay Dee
13.Prof Jay
14.Mwana FA
15. Yessaya.
16.Ferouz
17.Juma Nature
18. Fid Q
19. Inspector Haroun
20.Seleman Msindi
21.O ten.
22 Daz Baba,
23.Godfrey Tumaini. aka Dudu Baya
24.Stara
25.Mb Dogg
26.Chegge
27. Temba
28.Josline.
29.Chid Benz
30. Mr. Nice.
Godzila (R.I.P) , Thanks for your life man.
Good old days mkuu...Baba na Mimi nakupa 30 zingine
31. Rah P
32. Sister P
33. Zey B
34. Pouline Zongo
35. Elukah
36. Maik Tee Mnyaru
37. Dataz
38. Squeezer
39. Mabaga Fresh
40. Daznundaz
41. East Coast Team
42. Sold Ground Family
43. Biz Man; Mzee wa ametoroshwa mpenzi wangu
44. Keisha
45. Pingu & Deso
46. Keisal; ningeweza ningeweza sound track imewekwa kwenye movie kadhaa
47. Jiz Mabovu
48. Rackaz (kundi lake Quick Racka aka Switcher)
49. Nako 2 Nako
50. Ray C
51. Ibra Da Hustler
55. Gangwe Mob
56. Saleh Jabir
57. X Plaster Father Neli
58. Unique Sister's
59. Farida
60. JCB Watengwa
Rah P yupo America ana watoto wawili alienda kusoma huko akakutana na Jamaa mwamerica akazama Penzini kumbe Jamaa alikua anacheza dili chafu (anauza ngada) bila yeye kujua akaja akadakwa akatiwa ndani Rah P akabaki na watoto na Jamàa yake yupo nyuma ya Nondo huko kwenye Ardhi Joe Biden hajarudi Bongo mpaka KeshoGood old days mkuu...
Hivi Raha P yupo wapi siku izi
Umeandika sawa ila unapotumia neno waasisi na kuweka hii orodha unakuwa kwa namna moja ama nyengine unakosea. Mfano Langa (May his Soul continue resting in eternal peace) aliibuka baada ya shindano lile ambalo waliunda kundi Yeye, Witness na Shaa (Bongo Flava tayari ilikuwa imetake off).Hii hapa ni list ya wasanii wa bongo hiphop, kizazi cha zamani kilichoshine wakati wote.. waasisi wa Bongoflava.
Kipindi hicho Tanzania kukiwa na radio tatu tu na TV moja ya burdani, yes *EATV
Credits to MJRecords, Bongo Records....
Mambo yalikuwa sawa sana mpaka pale muovu alipoingia akaharibu mziki wa bongo kwa kuingiza siasa za CCM na show uchwara za kwenye vumbi... you may rest wherever you deserve man.
Nazungumzia mziki wenye maudhui(content) ambapo popularity and fame is earned .
Ladies and Gentlemen, the Golden awards goes to:
1. Jay Moe..
2. Langa Kileo R.I.P
3. Mr. Blue
4.Ngwair. R.I.P
5.Q Chillah
6. Solo Thang
7.Dully Sykes
8. Mr Paul.
9.Balozi
10.Mr 11 aka Sugu
11. TID
12. Jay Dee
13.Prof Jay
14.Mwana FA
15. Yessaya.
16.Ferouz
17.Juma Nature
18. Fid Q
19. Inspector Haroun
20.Seleman Msindi
21.O ten.
22 Daz Baba,
23.Godfrey Tumaini. aka Dudu Baya
24.Stara
25.Mb Dogg
26.Chegge
27. Temba
28.Josline.
29.Chid Benz
30. Mr. Nice.
Godzila (R.I.P) , Thanks for your life man.
Nakubali sana mkuu,Umeandika sawa ila unapotumia neno waasisi na kuweka hii orodha unakuwa kwa namna moja ama nyengine unakosea. Mfano Langa (May his Soul continue resting in eternal peace) aliibuka baada ya shindano lile ambalo waliunda kundi Yeye, Witness na Shaa (Bongo Flava tayari ilikuwa imetake off).
Kuna hawa unaweza fikiria waongeza katika list yako:
1. Kwanza Unit
2. Diplomatz
3. GWM
4. Xplastaz
5. Hard Blasters (kumbuka Chemsha Bongo ni ngoma iko katika album ya Funga Kazi)
6. Mabaga Fresh
7. Wateule
8. East Coast Team (Focus King Crazy GK)
9. SOS B
10. Saleh Jabir (the pooneer)
11. Mwingu Band je?
Wote tupo hapa kujifunza. Tunashukuru kwa kumbukizi hizi.
Nisije nikakutaja ukakosa raha ukaenda kubadilisha jina 😅Bado
Jaribu tena😀
Mr 2 kashatajwa hao waimba singling hatuwajui31. Mr II
33. Izzo Buzness
34. Ney Wa Mitego
35. Tunda Man
36. BELLE 9
Wahaya bwanaMb dog asingekuepo basi list ingekuwa batili
Chidi Benz wa juzi tu huyoHii hapa ni list ya wasanii wa bongo hiphop, kizazi cha zamani kilichoshine wakati wote.. waasisi wa Bongoflava.
Kipindi hicho Tanzania kukiwa na radio tatu tu na TV moja ya burdani, yes *EATV
Credits to MJRecords, Bongo Records....
Mambo yalikuwa sawa sana mpaka pale muovu alipoingia akaharibu mziki wa bongo kwa kuingiza siasa za CCM na show uchwara za kwenye vumbi... you may rest wherever you deserve man.
Nazungumzia mziki wenye maudhui(content) ambapo popularity and fame is earned .
Ladies and Gentlemen, the Golden awards goes to:
1. Jay Moe..
2. Langa Kileo R.I.P
3. Mr. Blue
4.Ngwair. R.I.P
5.Q Chillah
6. Solo Thang
7.Dully Sykes
8. Mr Paul.
9.Balozi
10.Mr 11 aka Sugu
11. TID
12. Jay Dee
13.Prof Jay
14.Mwana FA
15. Yessaya.
16.Ferouz
17.Juma Nature
18. Fid Q
19. Inspector Haroun
20.Seleman Msindi
21.O ten.
22 Daz Baba,
23.Godfrey Tumaini. aka Dudu Baya
24.Stara
25.Mb Dogg
26.Chegge
27. Temba
28.Josline.
29.Chid Benz
30. Mr. Nice.
Godzila (R.I.P) , Thanks for your life man.
Mpaka Ney wa mitego 🤣🤣🤣🤣🤣🤣hauwezi ukawa serious31. Mr II
33. Izzo Buzness
34. Ney Wa Mitego
35. Tunda Man
36. BELLE 9
31. Hiyo mwenye Uzi kamweka namba 10 kwenye list ,rejea mkuu31. Mr II
33. Izzo Buzness
34. Ney Wa Mitego
35. Tunda Man
36. BELLE 9