Hawa hapa 30 bora,(Top Bongo Music Beast) watoto wa mjini, bila hawa Bongoflava isingekuwepo

Hawa hapa 30 bora,(Top Bongo Music Beast) watoto wa mjini, bila hawa Bongoflava isingekuwepo

Kuna watu bado hujawataja tukianza na

  • Mabaga Fresh
  • Jafarai
  • Noorah
  • Suma Lee
  • Ray C
  • Pauline Zongo
  • Crazy GK
  • Kali P
  • Mr Ebo
  • John Mjema nk
Suma Lee nadhan ana hit song moja tu ya Hakunaga... na ilikuwa 2009/10 juzi tu hapa nadhani.

Nisahihishe
 
Umeandika sawa ila unapotumia neno waasisi na kuweka hii orodha unakuwa kwa namna moja ama nyengine unakosea. Mfano Langa (May his Soul continue resting in eternal peace) aliibuka baada ya shindano lile ambalo waliunda kundi Yeye, Witness na Shaa (Bongo Flava tayari ilikuwa imetake off).

Kuna hawa unaweza fikiria waongeza katika list yako:

1. Kwanza Unit
2. Diplomatz
3. GWM
4. Xplastaz
5. Hard Blasters (kumbuka Chemsha Bongo ni ngoma iko katika album ya Funga Kazi)
6. Mabaga Fresh
7. Wateule
8. East Coast Team (Focus King Crazy GK)
9. SOS B
10. Saleh Jabir (The Pioneer)
11. Mawingu Band je?

Wote tupo hapa kujifunza. Tunashukuru kwa kumbukizi hizi.

Hapo kwenye waasisi amechemka huwezi kuwaweka wasanii ambao wameikuta game ishakuwa smooth kama waasisi. Most ya hizi gangs ndio originality ya bongo fleva kabla hazijasambaratika, na kila mmoja kuanza kufanya music as solo artists ila jamaa amewajaza kwenye list wasanii wengi wa recent years.
 
Hii hapa ni list ya wasanii wa bongo hiphop, kizazi cha zamani kilichoshine wakati wote.. waasisi wa Bongoflava.

Kipindi hicho Tanzania kukiwa na radio tatu tu na TV moja ya burdani, yes *EATV

Credits to MJRecords, Bongo Records....

Mambo yalikuwa sawa sana mpaka pale muovu alipoingia akaharibu mziki wa bongo kwa kuingiza siasa za CCM na show uchwara za kwenye vumbi... you may rest wherever you deserve man.

Nazungumzia mziki wenye maudhui(content) ambapo popularity and fame is earned .

Ladies and Gentlemen, the Golden awards goes to:

1. Jay Moe..
2. Langa Kileo R.I.P
3. Mr. Blue
4.Ngwair. R.I.P
5.Q Chillah
6. Solo Thang
7.Dully Sykes
8. Mr Paul.
9.Balozi
10.Mr 11 aka Sugu
11. TID
12. Jay Dee
13.Prof Jay
14.Mwana FA
15. Yessaya.
16.Ferouz
17.Juma Nature
18. Fid Q
19. Inspector Haroun
20.Seleman Msindi
21.O ten.
22 Daz Baba,
23.Godfrey Tumaini. aka Dudu Baya
24.Stara
25.Mb Dogg
26.Chegge
27. Temba
28.Josline.
29.Chid Benz
30. Mr. Nice.



Godzila (R.I.P) , Thanks for your life man.
Guy Uzi ni batili bila uwepo wa mkali wa rymes afande sele alafu typo dudu baya so sad[emoji26][emoji26][emoji26]
 
Try mkuu
Ukikosea nakwambia. Ukipatia nabadili ID
Nilipigwa ban mheshimiwa mbunge wa Muheza... leo ndo nimekuwa huru

Hivi yule rafiki yenu aliyekuwa akiitwa "Noorah Baba styles" yuko wapi?! Si alikuwa msomi mwenzenu IFM?! Mbona hamumushiki mkono mwenzenu?! Au ndo mshatoboa mwanenu mnamkataa?! Huyo Omary nyembo ana darasa gani kutwa mko nae?! Au mnashiriki kumtoboa tobo na yule bwana Gavana wa Kenya 😅
 
Back
Top Bottom