Hawa hapa 30 bora,(Top Bongo Music Beast) watoto wa mjini, bila hawa Bongoflava isingekuwepo

Mtake radhi kubanda
 
1. Jay Moe 2. Solo Thang 🔥🔥🔥
 
Nakuelewa mkuu..
Hard blasters wanawakilishwa na Jay.
Kina Mika Mwamba yes ...
MJ na Punk nimewaweka mwanzo kabisa kama umefuatilia...
Ney wa mitego ni maoni ya mdau.. nayaheshim.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…