Hawa hapa 30 bora,(Top Bongo Music Beast) watoto wa mjini, bila hawa Bongoflava isingekuwepo

Baba na Mimi nakupa 30 zingine

31. Rah P
32. Sister P
33. Zey B
34. Pouline Zongo
35. Elukah
36. Maik Tee Mnyaru
37. Dataz
38. Squeezer
39. Mabaga Fresh
40. Daznundaz
41. East Coast Team
42. Sold Ground Family
43. Biz Man; Mzee wa ametoroshwa mpenzi wangu
44. Keisha
45. Pingu & Deso
46. Keisal; ningeweza ningeweza sound track imewekwa kwenye movie kadhaa
47. Jiz Mabovu
48. Rackaz (kundi lake Quick Racka aka Switcher)
49. Nako 2 Nako
50. Ray C
51. Ibra Da Hustler
55. Gangwe Mob
56. Saleh Jabir
57. X Plaster Father Neli
58. Unique Sister's
59. Farida
60. JCB Watengwa
 
Good old days mkuu...
Hivi Raha P yupo wapi siku izi
 
Good old days mkuu...
Hivi Raha P yupo wapi siku izi
Rah P yupo America ana watoto wawili alienda kusoma huko akakutana na Jamaa mwamerica akazama Penzini kumbe Jamaa alikua anacheza dili chafu (anauza ngada) bila yeye kujua akaja akadakwa akatiwa ndani Rah P akabaki na watoto na Jamàa yake yupo nyuma ya Nondo huko kwenye Ardhi Joe Biden hajarudi Bongo mpaka Kesho

Nb: Tafuta movie inaitwa Baby Powder ya Karabani imechezwa America story inafanana kidoogo na hio
 
Umeandika sawa ila unapotumia neno waasisi na kuweka hii orodha unakuwa kwa namna moja ama nyengine unakosea. Mfano Langa (May his Soul continue resting in eternal peace) aliibuka baada ya shindano lile ambalo waliunda kundi Yeye, Witness na Shaa (Bongo Flava tayari ilikuwa imetake off).

Kuna hawa unaweza fikiria waongeza katika list yako:

1. Kwanza Unit
2. Diplomatz
3. GWM
4. Xplastaz
5. Hard Blasters (kumbuka Chemsha Bongo ni ngoma iko katika album ya Funga Kazi)
6. Mabaga Fresh
7. Wateule
8. East Coast Team (Focus King Crazy GK)
9. SOS B
10. Saleh Jabir (The Pioneer)
11. Mawingu Band je?

Wote tupo hapa kujifunza. Tunashukuru kwa kumbukizi hizi.
 
Nakubali sana mkuu,

Issue makundi mengi sana yalivunjika katikati.. wengi wakahama harakati wakabaki wachache wakaanza kwenda solo... hapo ndio wakaonekana kina Prof Jay, FA etc... au nakosea?
 
Chidi Benz? Acha masihara wewe, miaka ya 2000's huko watu wanatafuta njia ya kuitoa Bongo Fleva huyo hakuwepo. Sema kazeeka haraka tu, lakini ni wa juzi tu huyo.
 
Chidi Benz wa juzi tu huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…