Hawa hapa 30 bora,(Top Bongo Music Beast) watoto wa mjini, bila hawa Bongoflava isingekuwepo

Kuna watu bado hujawataja tukianza na

  • Mabaga Fresh
  • Jafarai
  • Noorah
  • Suma Lee
  • Ray C
  • Pauline Zongo
  • Crazy GK
  • Kali P
  • Mr Ebo
  • John Mjema nk
Suma Lee nadhan ana hit song moja tu ya Hakunaga... na ilikuwa 2009/10 juzi tu hapa nadhani.

Nisahihishe
 

Hapo kwenye waasisi amechemka huwezi kuwaweka wasanii ambao wameikuta game ishakuwa smooth kama waasisi. Most ya hizi gangs ndio originality ya bongo fleva kabla hazijasambaratika, na kila mmoja kuanza kufanya music as solo artists ila jamaa amewajaza kwenye list wasanii wengi wa recent years.
 
Guy Uzi ni batili bila uwepo wa mkali wa rymes afande sele alafu typo dudu baya so sad[emoji26][emoji26][emoji26]
 
Try mkuu
Ukikosea nakwambia. Ukipatia nabadili ID
Nilipigwa ban mheshimiwa mbunge wa Muheza... leo ndo nimekuwa huru

Hivi yule rafiki yenu aliyekuwa akiitwa "Noorah Baba styles" yuko wapi?! Si alikuwa msomi mwenzenu IFM?! Mbona hamumushiki mkono mwenzenu?! Au ndo mshatoboa mwanenu mnamkataa?! Huyo Omary nyembo ana darasa gani kutwa mko nae?! Au mnashiriki kumtoboa tobo na yule bwana Gavana wa Kenya 😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…