Wakati marlow anatoka nadhani ndicho kipindi z anto naye anatoka toka pia ndipo cinderella ya alikiba nayo ikaingia mjini. Yani hizo ngoma tatu zilikuwa zinapigwa kwa kufuatana.Okay
Nafahamu Tuddy aliheat nae kwa wakati wake.
Alifariki mwaka janaMkuu D7 alishafariki yule jamaa?
Noma sana mzee umepiga harakati nyingi sana. Muziki sio poa unaweza kukutoa kwenye reli.... nilipata performance mbaya sana form 4 kisa muziki. A level bado nikaamua kuendeleza harakati nimeenda sana tetemesha na kwa q the don, lakini mara hiyo si kama msanii bali nawasindikiza vijana niliokuwa naamini wanaweza toboa. Mwisho ela ya matumizi tunachanga tunapeleka studio na hakuna hata track moja iliwahi kwenda redioni.Ubarikiwe sana uliyeleta uzi huu. Umenikumbusha Maisha halisi niliyopitia Malangali High School. Nilirekodi wimbo mmoja kwa Amba -AB Records. Baadaye nikarekodi pia kwa Lamar akiwa karibu na Jengo la Yanga 'Fish Crab Cook out'. Nilibakia kuzisikiliza ndani nyimbo hizo. Nikaacha kabisa muziki baada ya Mtangazaji mmoja Nguli kuniambia muziki utakupotezea mwelekeo wako kwenye Fani unayosomea. Pia kila niliposikiliza nyimbo zangu sikujiona km napenya katikati ya akina Prof J waliokuwa wa moto balaa. Nikamfuata Afande Sele nyumbani kwake Misufini-Moro kumuomba ushauri, akaniambia, "Kama unaweza kusoma na kuajiriwa mdogo wangu, fanya hivyo. Muziki umeshikwa na watu katili sana. Kama huna wa kukushika mkono utaishia kwenye msongo wa mawazo na kujidhuru." Heshima kwa Brother Yaki Mtu poa sana. Kila tukikutana kwenye majukumu au mtaani ni Mtu na Nusu πππππ
Wewe ni aswile wa TBC au?Ubarikiwe sana uliyeleta uzi huu. Umenikumbusha Maisha halisi niliyopitia Malangali High School. Nilirekodi wimbo mmoja kwa Amba -AB Records. Baadaye nikarekodi pia kwa Lamar akiwa karibu na Jengo la Yanga 'Fish Crab Cook out'. Nilibakia kuzisikiliza ndani nyimbo hizo. Nikaacha kabisa muziki baada ya Mtangazaji mmoja Nguli kuniambia muziki utakupotezea mwelekeo wako kwenye Fani unayosomea. Pia kila niliposikiliza nyimbo zangu sikujiona km napenya katikati ya akina Prof J waliokuwa wa moto balaa. Nikamfuata Afande Sele nyumbani kwake Misufini-Moro kumuomba ushauri, akaniambia, "Kama unaweza kusoma na kuajiriwa mdogo wangu, fanya hivyo. Muziki umeshikwa na watu katili sana. Kama huna wa kukushika mkono utaishia kwenye msongo wa mawazo na kujidhuru." Heshima kwa Brother Yaki Mtu poa sana. Kila tukikutana kwenye majukumu au mtaani ni Mtu na Nusu πππππ
Acha kabisa Broo, enzi hizo natoa hadithi zangu gazeti la Mwananchi, nikilipwa napeleka Pesa Studio. Ukisharekodi kumfikia Baba Wawili pale Ebony au DJ Fetty na wengine sio rahisi. Japo kwangu kilichonishinda 'Maisha yaliyo kwenye muziki' niliona siyawezi kabisa.Noma sana mzee umepiga harakati nyingi sana. Muziki sio poa unaweza kukutoa kwenye reli.... nilipata performance mbaya sana form 4 kisa muziki. A level bado nikaamua kuendeleza harakati nimeenda sana tetemesha na kwa q the don, lakini mara hiyo si kama msanii bali nawasindikiza vijana niliokuwa naamini wanaweza toboa. Mwisho ela ya matumizi tunachanga tunapeleka studio na hakuna hata track moja iliwahi kwenda redioni.
Muziki siyo, we mcheki Lamar kaachana na mambo ya muziki akiwa bado kwenye peak nadhani kwa kipindi hicho haukuwa unalipa kivile.
Noma sana mzee umepiga harakati nyingi sana. Muziki sio poa unaweza kukutoa kwenye reli.... nilipata performance mbaya sana form 4 kisa muziki. A level bado nikaamua kuendeleza harakati nimeenda sana tetemesha na kwa q the don, lakini mara hiyo si kama msanii bali nawasindikiza vijana niliokuwa naamini wanaweza toboa. Mwisho ela ya matumizi tunachanga tunapeleka studio na hakuna hata track moja iliwahi kwenda redioni.
Muziki siyo, we mcheki Lamar kaachana na mambo ya muziki akiwa bado kwenye peak nadhani kwa kipindi hicho haukuwa unalipa kivile.
Aisee ni hatari sana. Nadhani zama zangu ndipo ile trend ya kila kijana kutaka kuwa mwanamuziki yani kila nyumba unakuta kuna mtu anaimba.Acha kabisa Broo, enzi hizo natoa hadithi zangu gazeti la Mwananchi, nikilipwa napeleka Pesa Studio. Ukisharekodi kumfikia Baba Wawili pale Ebony au DJ Fetty na wengine sio rahisi. Japo kwangu kilichonishinda 'Maisha yaliyo kwenye muziki' niliona siyawezi kabisa.
Wewe ni aswile wa TBC au?
Yuko hapa hapa Dar anaendeleza Harakati kwenye Taasisi kubwa tu. Muziki ndio hafanyi.Yaki tonight bonge la nyimbo Nisha download naickikizaa...mwana cjui yuko wapi saivi...
Uongo, feruzi na hiyo ngoma wapi na wapiAcha kabisa ile ngoma yangu pendwa. Nashukuru ferouz alileta maringo maana ndiye ilikuwa aimbe chorus ikabidi majani akae mwenyewe na nadhani alifanya kitu bora kuliko ambavyo angefanya ferouz.
Kuna na ile ngoma ya wachuja nafaka, ya leo kali ile sehemu ya bridge na intro pale inasema. Ya leo kali ya leo kaliii
Omary Kombo a.k.a KGT sasa hivi amekua Ras.Wakati marlow anatoka nadhani ndicho kipindi z anto naye anatoka toka pia ndipo cinderella ya alikiba nayo ikaingia mjini. Yani hizo ngoma tatu zilikuwa zinapigwa kwa kufuatana.
Hivi kgt yupo? Hata sura yake sijawahi kuona jamaa.
Sio kweli, wengi upstairs walikua empty head. Wa sasa ndio wako vizuri upstairs ndio maana wamefanya music umekua na pesa nyingi sanaWasanii wa bongo fleva zamani wengi "upstairs" walikuwa njema saana.
Bora uliacha aisee, kabisa unaenda kuomba ushauri wa muziki kwa afande sele ili utoke?Ubarikiwe sana uliyeleta uzi huu. Umenikumbusha Maisha halisi niliyopitia Malangali High School. Nilirekodi wimbo mmoja kwa Amba -AB Records. Baadaye nikarekodi pia kwa Lamar akiwa karibu na Jengo la Yanga 'Fish Crab Cook out'. Nilibakia kuzisikiliza ndani nyimbo hizo. Nikaacha kabisa muziki baada ya Mtangazaji mmoja Nguli kuniambia muziki utakupotezea mwelekeo wako kwenye Fani unayosomea. Pia kila niliposikiliza nyimbo zangu sikujiona km napenya katikati ya akina Prof J waliokuwa wa moto balaa. Nikamfuata Afande Sele nyumbani kwake Misufini-Moro kumuomba ushauri, akaniambia, "Kama unaweza kusoma na kuajiriwa mdogo wangu, fanya hivyo. Muziki umeshikwa na watu katili sana. Kama huna wa kukushika mkono utaishia kwenye msongo wa mawazo na kujidhuru." Heshima kwa Brother Yaki Mtu poa sana. Kila tukikutana kwenye majukumu au mtaani ni Mtu na Nusu πππππ
Hiyo performance yako mbaya o level haikuhusiana na muziki, uwezo wako darasani ulikua mdogo usitafute visingizio.Noma sana mzee umepiga harakati nyingi sana. Muziki sio poa unaweza kukutoa kwenye reli.... nilipata performance mbaya sana form 4 kisa muziki. A level bado nikaamua kuendeleza harakati nimeenda sana tetemesha na kwa q the don, lakini mara hiyo si kama msanii bali nawasindikiza vijana niliokuwa naamini wanaweza toboa. Mwisho ela ya matumizi tunachanga tunapeleka studio na hakuna hata track moja iliwahi kwenda redioni.
Muziki siyo, we mcheki Lamar kaachana na mambo ya muziki akiwa bado kwenye peak nadhani kwa kipindi hicho haukuwa unalipa kivile.
Kwa huo uchanaji asingefika popote. Bora alivyoachaYaki tonight bonge la nyimbo Nisha download naickikizaa...mwana cjui yuko wapi saivi...
Kuna watu mpaka tufaulu inahitaji tusome huku wengine wana vichwa vya kuelewa haraka. Nilijikita zaidi kwenye muziki nikaacha kusoma, kila mara nasikia tu beats na rhymes kichwani na nilikuwa ndicho kipindi nilichokuwa form 4. Kilichonishtua ni matokeo ya mock, na si kwamba nilifail, nilifaulu vizuri tu lakini si kwa kiwango ambacho nilipaswa kufaulu.Hiyo performance yako mbaya o level haikuhusiana na muziki, uwezo wako darasani ulikua mdogo usitafute visingizio.
Si kila anayefanya muziki lazima afanikiwe, kufanikiwa inategemea na wewe mwenyewe. Ni Kama soka tu, au fani nyingine sio kila mtu anaweza kufanikiwa.
Lamar alikua producer sio mwanamuziki. Producer kwa bongo huwezi pata pesa, wasanii wanarekodi bure, hivyo uwe kwenye peak au uwe chini itafikia muda mwenyewe utaacha tu