Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Anaitwa Omary Said Kombo. Hilo jina tu unategemea atakua mkenya?Hivi yule jamaa hakuwa mkenya?.. nilikuwa namuona pale Kino mkwajuni/moscow ... kuna ka studio flan kilianzishwa na jamaa yangu alikuwa anakujaga kurecord... kipindi hicho kama mtu hana ndoto ya kuwa mwanamuziki basi ana ndoto ya kuanzisha studio
Sasa kuna mtu alinambiaga anatokea kenya
Huyo mzungu ni miika mwamba na sababu ya kuacha production wakati ule ghafla tu ilikua ni hiyo kutopata pesa. Nyimbo zinaenda lakini pesa hakuna. Hata pa kulala tu ikawa shida kwake, mwisho akaamua kurudi kwaoSasa kama wana record bure, kina P funk, master Jay, yule mzungu producer jina limenitoka walikuwa wanapata vipi pesa.. na hawa wasanii wakubwa wana record kwao na wanaingiza pesa kina wagosi, kina Mwana Fa, kina prof J
Duh kwa hiyo ma producer majona makubw tu ila kipato hakiendan na jinaHuyo mzungu ni miika mwamba na sababu ya kuacha production wakati ule ghafla tu ilikua ni hiyo kutopata pesa. Nyimbo zinaenda lakini pesa hakuna. Hata pa kulala tu ikawa shida kwake, mwisho akaamua kurudi kwao
P funk na mj nao wamepitia hayo hayo wasanii kurekodi bure, pesa wanapata pale ambapo album inaenda kuuzwa. Sasa album mauzo yakiwa kidogo hasara kwao. je wangapi waliuza album vizuri? Show, hapo napo huchukua percent lakini mikono inakua mingi Kuna meneja, kuna mtu Kati, kuna msanii na Kuna ww producer. Show ngapi atarudisha pesa yako? Tena zamani show nyingi walikua wanakopwa na mwisho wa siku hawalipwi kabisa
Kingine kinacholipa ni deals za wasanii wako kutoka kwenye makampuni, but hapo kuna/kulikua na mtu wa Kati. Huyu mara zote ndio anakula kikubwa, sasa ukileta ujuaji na kutaka muende sawa anakuzima, nyimbo zote kutoka studio yako hazipigwi redioni. P funk alipitia hayo, master j alipitia pia hayo. Mwisho utafunga tu mwenyewe studio hata iwe kubwa vipi, ndio maana uliona bongo records ikafa chali
sio kukaza, kwa maelezo yake mwenyew kwa video uliyoweka hapo hakuna sehemu amesema amefunga studioDuh mkuu bado tu umekaza? Basi sawa ipo na inafanya kazi
sio kweli mzee... unaikumbuka ghetto boys, watu poli hao wote walitoka mikononi mwa Selemani Msindi a.k.a Afande seleSimchukulii powa Ila sjo mtu anaweza kumsaidia mtu kimuziki na kufika mbali. Huo uwezo ndio Hana
Kuwa namba moja darasani haimaanishi unaweza kuwa mwalimu mzuri wa kufundisha wengine.
Huwezi kutaka kufika mbali kimuziki ukamfata afande sele, labda uwe unatania.
Biashara tu ilienda vibaya, angalau sasa hivi baadhi ya media zinapata pesa, zamani jamaa walikuwa wanajiendesha kwa hasara sana.Kiss walikuwa wako vizuri sana. Sijui kweli nini kiliwakumba.
Maisha yako kasi sana.
Hakuzungumzia kwenye angle ya kibiashara, ila kwenye upande wa kipaji na Utunzi., bado kwenye kizazi hiki hatuna hao Wasanii., hawa Wasanii wa sasa wamekuta mazingira mengi yameboreshwa, vikichajizwa pia na ukuaji wa Teknolojia.Sio kweli, wengi upstairs walikua empty head. Wa sasa ndio wako vizuri upstairs ndio maana wamefanya music umekua na pesa nyingi sana
Zamani tour nzima msanii akirudi anapewa maneno matupu bila hata mia na anakubali. Sasa hivi unaweza mzungusha bure tour hata chino tu atakubali?
We jamaa ni mbishi na umeamua kwa makusufi kubisha, hivyo sina Tena namnasio kukaza, kwa maelezo yake mwenyew kwa video uliyoweka hapo hakuna sehemu amesema amefunga studio
Kuwa vizuri upstairs maana yake ni mtu mwerevu sana, werevu ambao unatakiwa kuonekana kwenye mambo mengiHakuzungumzia kwenye angle ya kibiashara, ila kwenye upande wa kipaji na Utunzi., bado kwenye kizazi hiki hatuna hao Wasanii., hawa Wasanii wa sasa wamekuta mazingira mengi yameboreshwa, vikichajizwa pia na ukuaji wa Teknolojia.
Gheto boys ilienda wapi bro? Si ilikufa fasta tusio kweli mzee... unaikumbuka ghetto boys, watu poli hao wote walitoka mikononi mwa Selemani Msindi a.k.a Afande sele
usipende kuongea kitu kama huna uhakika nacho kama mtu mzima nakushauliWe jamaa ni mbishi na umeamua kwa makusufi kubisha, hivyo sina Tena namna
hahah wewe jamaa unazingua, ulitegemea hayo makundi yawepo hadi sasa hivi?Gheto boys ilienda wapi bro? Si ilikufa fasta tu
Watu pori nayo ilifika wapi? Si ilikufa fasta tu. Ni wasanii gani wa gheto boys au watu pori walifika mbali kimuziki? Taja hata mmoja tu
Afande hana uwezo wa kumfikisha mbali kimuziki msanii yoyote
Ditto ilibidi aondoke, arudi tena chini kabisa kupitia THT. Ndio kidogo akakaa saw
Umenikumbusha mbali sana Iringa miaka ya 2007-2010 ,dah Hadi machozi yamenitoka ,kipindi hicho vijana wanapambana ku record watoboe ,Kuna hii ngoma pia alifanya Amba, ilikuwa hatari sana enzi hizo.
Man Kichefu - Utanikumbuka, sasa hivi huyu msanii ni wakili wa kujitegemea.
View: https://youtu.be/XI3itiuHifY?si=JTvb66TFIVw0i-qi
Vipi kuhusu 41 record ,Huyo mzungu ni miika mwamba na sababu ya kuacha production wakati ule ghafla tu ilikua ni hiyo kutopata pesa. Nyimbo zinaenda lakini pesa hakuna. Hata pa kulala tu ikawa shida kwake, mwisho akaamua kurudi kwao
P funk na mj nao wamepitia hayo hayo wasanii kurekodi bure, pesa wanapata pale ambapo album inaenda kuuzwa. Sasa album mauzo yakiwa kidogo hasara kwao. je wangapi waliuza album vizuri? Show, hapo napo huchukua percent lakini mikono inakua mingi Kuna meneja, kuna mtu Kati, kuna msanii na Kuna ww producer. Show ngapi atarudisha pesa yako? Tena zamani show nyingi walikua wanakopwa na mwisho wa siku hawalipwi kabisa
Kingine kinacholipa ni deals za wasanii wako kutoka kwenye makampuni, but hapo kuna/kulikua na mtu wa Kati. Huyu mara zote ndio anakula kikubwa, sasa ukileta ujuaji na kutaka muende sawa anakuzima, nyimbo zote kutoka studio yako hazipigwi redioni. P funk alipitia hayo, master j alipitia pia hayo. Mwisho utafunga tu mwenyewe studio hata iwe kubwa vipi, ndio maana uliona bongo records ikafa chali
Mkuu, sio kwamba hao kina P Funk na MJ walimsagia kunguni Mikka kuhusiana na working permits nk ndio ikamlazimu kuondoka hapa nchini? Maana huyu si alikuwa ni mwajiriwa wa FM studio za Felician Muta? Means alikuwa na aina ya ujira hivi..Huyo mzungu ni miika mwamba na sababu ya kuacha production wakati ule ghafla tu ilikua ni hiyo kutopata pesa. Nyimbo zinaenda lakini pesa hakuna. Hata pa kulala tu ikawa shida kwake, mwisho akaamua kurudi kwao
Wala, muta hakuwa anamlipa huyo mzungu. Ndio maana hata yeye nae akawa akichukua pesa anaingiza mfukoni kwake na sio kupeleka ofisini. Hilo ndio lilikua tatizo. Hakua anapewa pesa na boss wake huku akifanya kazi kubwa, akaanza kujiongeza wakashindana.Mkuu, sio kwamba hao kina P Funk na MJ walimsagia kunguni Mikka kuhusiana na working permits nk ndio ikamlazimu kuondoka hapa nchini? Maana huyu si alikuwa ni mwajiriwa wa FM studio za Felician Muta? Means alikuwa na aina ya ujira hivi..
Yaleyale, hakuna walichokua wakipata. Dunga aliletwa bongo na kuajiriwa studio ya pinnacle. Pinaccle production ndio studio ilikua Ina kila kitu very professional. Ilikua inaendwa vile inatakiwa, dunga alikua akilipwa pesa nzuri tu. Lakini walifeli, mwanzo walihisi labda location ya posta sio nzuri wakahamia mikocheni napo chali.Vipi kuhusu 41 record ,
Aisee, kweli bongo nyoso. Hii interview ya Mikka na Millard Ayo ya mwaka 2017, Mikka aliongea kwa uchungu flani kuhusu yeye kuondoka Tanzania. Inaonekana Fitna zilikuwa kali sanaWala, muta hakuwa anamlipa huyo mzungu. Ndio maana hata yeye nae akawa akichukua pesa anaingiza mfukoni kwake na sio kupeleka ofisini. Hilo ndio lilikua tatizo. Hakua anapewa pesa na boss wake huku akifanya kazi kubwa, akaanza kujiongeza wakashindana.
Alipotaka kuhamia studio zingine ndio fitna zikafanywa
Huyo jamaa nilimkuta Iringa baba lishe anauza ubwabwanataka nijue Amber bado anafanya kazi, studio bado ipo Iringa ?