Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Na Mimi Niki omba kitu, Uta nipatia😆🤒Kwahiyo nisipewe kitu na jirani yangu🤒🤒😉
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Mimi Niki omba kitu, Uta nipatia😆🤒Kwahiyo nisipewe kitu na jirani yangu🤒🤒😉
Inategemea na kitu gani unaomba😃😃Na Mimi Niki omba kitu, Uta nipatia😆🤒
Wewe nipe jibu 😆😂, USI anze mashairi 😆Inategemea na kitu gani unaomba😃😃
Wewe ndo useme unataka nini sasa, ili nijue kama inawezekana kukupaWewe nipe jibu 😆😂, USI anze mashairi 😆
Extrovert kama extro ila anajua mamb ya pisi sio sana kipindi hicho chuo , ulikuwa unawaza magari tu au sioHako kenye sendo za manyoya nimekaacha kanamalizia Diploma 2 wakati namaliza third year. Kiukweli alikuwa ni kisu balaa.
Eeh chuma tuExtrovert kama extro ila anajua mamb ya pisi sio sana kipindi hicho chuo , ulikuwa unawaza magari tu au sio
Mkuu umemanisha nini hapa
wanaovaa viatu vya manyoya ni micharukoMkuu umemanisha nini hapa
Nasikia uki nipa, sito jutia 😆😂Wewe ndo useme unataka nini sasa, ili nijue kama inawezekana kukupa
Aisee! Kumbewanaovaa viatu vya manyoya ni micharuko
sio kweli 100% lakini, inategemea
Mihemko ikwapi hapo ndugu yangu. Ndo tunakwambia kwamba hawajatrend maana wengi waliocomment hawajawahi kuwaona.
Bora kukosa tako kuliko kuwa na hips baya kama la huyo mmoja.
Na viatu vya manyoya😅😅😅
Kama.kutrend kimaya malaya basi SAwa ila
Aisee 😃🤔Nasikia uki nipa, sito jutia 😆😂
Jambo afandeNaingia night mkuu. Niko tu home mchana usiku naingia leo shift yangu night. Walinzi tupo fleksibo kaka
Anazuia barid inayotoka kweny vigae
🤣🤣🤣