AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Nauliza tu kwa kutaka kujua hawa mbu ninaowaona siku hizi ni toleo jipya au? Maana hata uwapulizie na nini hawafi
HawafiHata kama wewe hujawahi kuugua malaria mbu wa siku hizi lazima wakulaze kitandani.
Ndio ni wapya, nilikua Muhimbili pale wakasema wameletwa ili waue mbu wa Malaria, hawa wapya wapo fiti balaa, wanang'ata Sana pia.Nauliza tu kwa kutaka kujua hawa mbu ninaowaona siku hizi ni toleo jipya au? Maana hata uwapulizie na nini hawafi
Hao hawana malaria wanapatikana mikoa yenye unyevu unyevu kama kilimanjaro Ukanda wa milimaniKuna wale hata Mchana wanapiga kazi wana rangi ya pundamilia wakubwa zaidi ya mbu walio zoeleka
Halafu unajua kuna watu wanang'atwa na mbu zaidi kuliko wengine?Huwezi amin jana tu nilikua nawauliza watu wa home hili swali hawa mbu mbona kama wamevaa mask na helmet halafu wana meno ya vampire?
Kwanza wana mbio wanajua hadi kukata kona wanakuzunguka, 🤯
Pili ukiwapulizia dawa ni kama wanakucheki kwa hasira halafu wanakuja kukushambulia kwa nguvu🤕
Tatu hata uwapige kofi linadunda yaan mbu wanajua kupunch vibao😲
Nne wakikung'ata unahisi maumivu hadi kwenye utosi na lazima uvimbe🥹
Tano wana visasi ikitokea umemuua mmoja japo kwa mbinde, watakuvizia kwenye kona ukikatiza tu wanaanza kukushambulia na 'vimeno' vyao vya kivampire lazima utoke ndukiiii😮💨😷😨
Serikali ilitizame hili kwa upana
Huyu ni mimi, tena muda mwengine hata hao mbu hawapo ila mimi nitawahisi, nitakua najipiga piga mwilini na kujitikisa tikisa😀Halafu ujua kuna watu wanang'atwa na mbu zaidi kuliko wengine?
Mnaweza kukaa kundi la watu ukashangaa mmoja tu analalamika kuhusu mbu
😂😂😂😂😂😂Huwezi amin jana tu nilikua nawauliza watu wa home hili swali hawa mbu mbona kama wamevaa mask na helmet halafu wana meno ya vampire?
Kwanza wana mbio wanajua hadi kukata kona wanakuzunguka, 🤯
Pili ukiwapulizia dawa ni kama wanakucheki kwa hasira halafu wanakuja kukushambulia kwa nguvu🤕
Tatu hata uwapige kofi linadunda yaan mbu wanajua kupunch vibao😲
Nne wakikung'ata unahisi maumivu hadi kwenye utosi na lazima uvimbe🥹
Tano wana visasi ikitokea umemuua mmoja japo kwa mbinde, watakuvizia kwenye kona ukikatiza tu wanaanza kukushambulia na 'vimeno' vyao vya kivampire lazima utoke ndukiiii😮💨😷😨
Serikali ilitizame hili kwa upana
Mimi pia nikikaa sehemu yenye mbu tu wanakuja kama nimewaita ,inaonekana tuna damu tamu sanaHuyu ni mimi, tena muda mwengine hata hao mbu hawapo ila mimi nitawahisi, nitakua najipiga piga mwilini na kujitikisa tikisa😀
itakua na miili yetu mitamu piaMimi pia nikikaa sehemu yenye mbu tu wanakuja kama nimewaita ,inaonekana tuna damu tamu sana
Wanadai watu wenye miili yenye joto zaidi hushambuliwa na mbu zaidi .itakua na miili yetu mitamu pia
Hawa sio wapya wapo siku nyingi huku kaskazini wanaitwa ToxorhynchitesKuna wale hata Mchana wanapiga kazi wana rangi ya pundamilia wakubwa zaidi ya mbu walio zoeleka