Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
ChaiWanadai watu wenye miili yenye joto zaidi hushambuliwa na mbu zaidi .
Na wenye group o la damu.
ChaiWanadai watu wenye miili yenye joto zaidi hushambuliwa na mbu zaidi .
Na wenye group o la damu.
Uko sahihi. Kuna watu wanavutia mbu kuliko wengine na sababu ziko nyingi. Mbu wananusa carbon dioxide ambayo hutofautiana kwa kiwango cha kuzalishwa kati ya mtu na mtu. Hata pombe wanasema unaweza kusababisha ukavitia mbu zaidi. Blood group O pia ni kweli. Kuna visababu vingi sana, hata joto la mwiliWanadai watu wenye miili yenye joto zaidi hushambuliwa na mbu zaidi .
Na wenye group o la damu.
Maharage ushakula?Chai
Sidhani kama wana madhara, ama kama yapo hayajajulikana badoJe wakikung'ata wana madhara gani?
Inaitwaje hio dawa ya Ulaya? Maana hizi dawa zetu haziui mbu kabisa au hawa mbu wamezizoea sana mpaka wanateengeneza resistance ya dawa mpaka wakipulizwa hawafiNliwahi kuingiza kopo moja la dawa ya mbu kutoka Ulaya niliona tofauti.
Busha mbu wa kwenye minazi hao km punda milia wanasema wanasababisha mabushaSidhani kama wana madhara, ama kama yapo hayajajulikana bado
Raid. Hii hata mende wanaweweseka.Inaitwaje hio dawa ya Ulaya? Maana hizi dawa zetu haziui mbu kabisa au hawa mbu wamezizoea sana mpaka wanateengeneza resistance ya dawa mpaka wakipulizwa hawafi
Hizo si zimejaa kibao sasaRaid
Hawa wapo mitaani kwa miaka mingi. Wanaonekana sana kipindi cha mvua.Kuna wale hata Mchana wanapiga kazi wana rangi ya pundamilia wakubwa zaidi ya mbu walio zoeleka
Du... basi inawezekana ni matoleo fake. Mbona niliyotumia ilikuwa kali sana kwa mbu na hata mende? BTW kama unapuliza halafu milango na madirisha (pia matobo mengine) yapo wazi wanapotea kwa muda tu.Hizo si zimejaa kibao sasa
Hvi watu wanatumia dawa za kupaka? Nazo ni nzuri japo nguvu yake haikai sana.Hizo si zimejaa kibao sasa
Inabidi uwafungie ndani kwa muda gani ndio uwakute wamekufa?Du... basi inawezekana ni matoleo fake. Mbona niliyotumia ilikuwa kali sana kwa mbu na hata mende? BTW kama unapuliza halafu milango na madirisha (pia matobo mengine) yapo wazi wanapotea kwa muda tu.
We si upo dar? Muhimbili sio mbali siku ukipata mgonjwa pale nenda mida ya jioni ukaone vitu halafu ufananishe na mbu wetu hawa goigoi wa kila siku.Chai
Hizo zina madhara baadae kwa hio unatumia at your own risk,Hvi watu wanatumia dawa za kupaka? Nazo ni nzuri japo nguvu yake haikai sana.
Wanakufa hapo hapo unapopuliza. NOTE: Nilikuwa namaanisha kuwa ukishapuliza nyumba inatakiwa isiwe na sehemu ya mbu kuingia.Inabidi uwafungie ndani kwa muda gani ndio uwakute wamekufa?
Au DengueBusha mbu wa kwenye minazi hao km punda milia wanasema wanasababisha mabusha
Chai.We si upo dar? Muhimbili sio mbali siku ukipata mgonjwa pale nenda mida ya jioni ukaone vitu halafu ufananishe na mbu wetu hawa goigoi wa kila siku.
Unajiendekeza.Popote ninapokua huyu mwamba hua simuachiiiii
Ndio hivyo hivyo busha au dengue, wazee wa TA wanaelewaAu Dengue
Inategemea na group la damuHalafu unajua kuna watu wanang'atwa na mbu zaidi kuliko wengine?
Mnaweza kukaa kundi la watu ukashangaa mmoja tu analalamika kuhusu mbu