Huwezi amin jana tu nilikua nawauliza watu wa home hili swali hawa mbu mbona kama wamevaa mask na helmet halafu wana meno ya vampire?
Kwanza wana mbio wanajua hadi kukata kona wanakuzunguka, 🤯
Pili ukiwapulizia dawa ni kama wanakucheki kwa hasira halafu wanakuja kukushambulia kwa nguvu🤕
Tatu hata uwapige kofi linadunda yaan mbu wanajua kupunch vibao😲
Nne wakikung'ata unahisi maumivu hadi kwenye utosi na lazima uvimbe🥹
Tano wana visasi ikitokea umemuua mmoja japo kwa mbinde, watakuvizia kwenye kona ukikatiza tu wanaanza kukushambulia na 'vimeno' vyao vya kivampire lazima utoke ndukiiii😮💨😷😨
Serikali ilitizame hili kwa upana