Hawa ndio magaidi wa Hamas waliouawa kwenye shule huko Gaza

Hawa wote watapata mabikra 72 kila mmoja huku akiburudika na k-vant 🤣🤣🤣🤣🤣😂 Allah kawashika pabaya sana..
 
Unalijua lengo la Hamas kukua hadi kujiimarisha kwake lilikuwa lipi?, pamoja na intelligence kali ya MOSSAD, unanambia hawakuwa na taarifa za October 7?, amka usingizini ww!
Nukuu; "From river to the sea"
Inasemekana walikuwa nazo ila walizipuuza. Yeriko Nyerere anadema kwenye intelijensia hakuna taarifa kubwa au ndogo, zote zinatakiwa zipewe uzito sawa.
 
Inasemekana walikuwa nazo ila walizipuuza. Yeriko Nyerere anadema kwenye intelijensia hakuna taarifa kubwa au ndogo, zote zinatakiwa zipewe uzito sawa.

Kum,be umekuwa teja la Yericko Laanatullah Nyerere 😛 😛 😛 😛
 
Hawa wote watapata mabikra 72 kila mmoja huku akiburudika na k-vant 🤣🤣🤣🤣🤣😂 Allah kawashika pabaya sana..
Mabikira hamnaga wameongopewa, pindi wanapokufa huenda kuzimu na ndipo wanakutana na mapepo yakiongozwa na shetani allah na mapepo haya hayana mswalie mtume maana yanawatesa kichizi. Yaani kwa mfano Haniya na bogigadi wake saa hizi wanapata mateso ya kufa mtu maana kwanza walikuwa wakifanya michezo michafu ya mudi na alhussein.
 
Usichoelewa ni kuwa, huu ni mwanzo wa mwisho wa mazayuni kuikalia nchi ya watu. Hata ANC afrika Kusini waliitwa magaidi na wakauliwa Waafrika wengi sana, mwisho wa siku, sasa wanaongoza nchi yao kwa raha zao.
Yesu aliishi wapi?
 
Yesu aliish

The Lost City


The Gospels tell us that Jesus’s home town was the ‘City of Nazareth’ (‘polis Natzoree’).




However when we look for historical confirmation of this hometown of a god – surprise, surprise! – no other source confirms that the place even existed in the 1st century AD.



• The Talmud, although it names 63 Galilean towns, knows nothing of Nazareth, nor does early rabbinic literature.
St Paul knows nothing of ‘Nazareth’. Rabbi Solly’s epistles (real and fake) mention Jesus 221 times, Nazareth not at all.
 
mazayuni wamekasirika baada ya askari wao wakishirikiana Mmarekani kuiulowa kama njiwa huko Yemen.

Hao mashoga watapiga hospitali na shule tu kwa mbali tu, hawawezi kusimama na wanaume wakapigana.

Wenyewe wanasema hilo kila siku.
Wala wale sio askari wa israel wale ni wagner wameuawa huko mali
 
Kama kuna watu wanatoa info za magaidi yaliyojificha aridhini ni matokeo ya vita ya muda mrefu. Mtu yoyote akipata kipondo kikali kwa muda mrefu ni lazima atakubali yaishe.
IDF iendelee na mipango yake kama prime minister alivyoahidi kuwa vita itakuwa ya muda mrefu.
 

na huku hata hao marafiki zao wamarekani wanaanza kugeuka pia


View: https://youtu.be/8pu-Xyzocfs
 
Watu zaidi ya 100 wameuawa.
 
Haijalishi paka kasema nini wala anafanya nini
Ila hii vita hata apiganwe miaka mia mbili kuwashinda hamas na kuokoa mateka wao wasahau
Mpaka wanatishia kuwaua wakazi wa ghaza kwa njaa kama hawajawarejeshea mateka wao
Idf imefeli na mossas sijui ndio takataka zipi zimefeli kabisa
Israhell ya kwenye media ile ingeweza kuifuta ghaza kwa dakika tatu tu nakukomboa mateka wake wote kwa sekunde moja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…