Hawa ndio mashahidi wa Lissu, iwapo mahakama itaamua kwamba ana kesi ya kujibu

Hawa ndio mashahidi wa Lissu, iwapo mahakama itaamua kwamba ana kesi ya kujibu

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,914
Reaction score
168,320
JE WAJUA?

KAMA KESHO MAHAKAMA ITASEMA MHE TUNDU LISSU ANAKESI YA KUJIBU, RAISI ATAPASWA KUFIKA MAHAKAMANI KAMA SHAHIDI WA LISSU?

PICHA ZA LEO - Picha za Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. @TunduALissu, akiwa katika Mahakama K.jpg

Kama mahakama itaona kesi iendelee basi Tundu Lissu anaweza kuistajabisha Dunia kwenye uwanja wa mahakama akiwapitisha Vigogo kwenye flampeni ya Mafuta ya Sheria. Natamani kusikia sauti ya Sheria! Msamiati ya Haki, chenga za Courtroom.

Natamani kuona cross examination ya Genius huyu akiwapitisha mashahidi wake kwenye njia ya Sheria kama Safari ya Loliondo kwa babu Ambokile Mwasapile kupata Kikombe cha haki. naogopa lakini ni salama. Na Hawa ndio mashahidi wa Lissu 15 on the stage.

1. Samia Suluhu Hassan – Rais haramu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

2. Dkt. Philip Mpango – Makamu wa Rais Mstaafu

3. Kassim Majaliwa – Waziri Mkuu Mstaafu

4. Jenerali Camillius Wambura – Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania. (IGP)

5. Ramadhani Kingai – Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI)

6. Suleiman Mombo - Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

7. Ramadhani Ng’anzi – DCP — Deputy Commissioner of Police Naibu Kamishna wa Polisi

8. Agatha Atuhaire – Mwandishi wa habari/ mwanaharakati kutoka Uganda

9. Boniface Mwangi – Mwanaharakati wa Kenya

10. John Marwa – Mkurugenzi wa Jambo TV

11. Amani Golugwa – Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA

12. John Heche – Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA

13. John Mnyika – Katibu Mkuu wa CHADEMA

14. Jaji mstaafu Willy Mutunga – Kenya

15. Martha Karua – Mwanasiasa na wakili kutoka Kenya.

Ukisikia ukimeza ya moto kutema Hutaki ndio hii, kesi hii ilipofikia ni kidonda kwenye tako, kukaa panauma kulala panauma, anyway ngoja nisubili Ijumaa, nione tunatema au Tunameza.
 
JE WAJUA ?

KAMA KESHO MAHAKAMA ITASEMA MHE TUNDU LISSU ANAKESI YA KUJIBU, RAISI ATAPASWA KUFIKA MAHAKAMANI KAMA SHAHIDI WA LISSU?

Na Emily Mwakilembe

Kama mahakama itaona kesi iendelee basi Tundu Lissu anaweza kuistajabisha Dunia kwenye uwanja wa mahakama akiwapitisha Vigogo kwenye flampeni ya Mafuta ya Sheria. Natamani kusikia sauti ya Sheria! Msamiati ya Haki, chenga za Courtroom

Natamani kuona cross examination ya Genius huyu akiwapitisha mashahidi wake kwenye njia ya Sheria kama Safari ya Loliondo kwa babu Ambokile Mwasapile kupata Kikombe cha haki. naogopa lakini ni salama. Na Hawa ndio mashahidi wa Lissu 15 on the stage.

1. Samia Suluhu Hassan – Rais haramu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

2. Dkt. Philip Mpango – Makamu wa Rais Mstaafu

3. Kassim Majaliwa – Waziri Mkuu Mstaafu

4. Jenerali Camillius Wambura – Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania. (IGP)

5. Ramadhani Kingai – Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI)

6. Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

7. Ramadhani Ng’anzi – DCP — Deputy Commissioner of Police Naibu Kamishna wa Polisi

8. Agatha Atuhaire – Mwandishi wa habari/ mwanaharakati kutoka Uganda

9. Boniface Mwangi – Mwanaharakati wa Kenya

10. John Marwa – Mkurugenzi wa Jambo TV

11. Amani Golugwa – Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA

12. John Heche – Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA

13. John Mnyika – Katibu Mkuu wa CHADEMA

14. Jaji mstaafu Willy Mutunga – Kenya

15. Martha Karua – Mwanasiasa na wakili kutoka Kenya.

Ukisikia ukimeza ya moto kutema Hutaki ndio hii, kesi hii ilipofikia ni kidonda kwenye tako, kukaa panauma kulala panauma, anyway ngoja nisubili Ijumaa, nione tunatema au Tunameza.
Ukisikia ukimeza ya moto kutema Hutaki ndio hii, kesi hii ilipofikia ni kidonda kwenye tako, kukaa panauma kulala panauma, anyway ngoja nisubili Ijumaa, nione tunatema au Tunameza.😂😂😂😂
 
Itokee Majaji wamekubali pendekezo la mawakili wa serikali.

Halafu kwenye utetezi wa Lissu akamtaja Samia kama shahidi wake, mahakama inaweza kuhairisha hiyo kesi kwa muda mrefu sana.

Labda awaite kwa mpigo hususan hao viongozi wa serikali ili atayefika aanze naye huyo huyo.
 
Si walisema kesi itaendeshwa mfululizo hadi mwezi wa tisa?
 
Hao wengine 14 wote hawana pa kujificha, hawana hata dalili ya "kinga" inayowakinga kutododoswa mahakamani (cross examined) ikitokea wakataka tufike huko wanakotaka tufike...

Lakini MJADALA mkubwa ni kwa huyo namba moja haramu, asiye na haya wala soni mwanamke wa pili duniani muuaji baada ya Jezebel aliyekuwa mke wa Mfalme Ahabu wa Israel..

Tunaambiwa kisheria, ni ngumu kwa Rais aliye madarakani kuitwa mahakamani kwa jambo lolote lile ikiwemo kushitakiwa au kutoa ushahidi ktk kesi hii au ile. Tunaambiwa ana hiari ya kukubali au kukataa na sheria haimfungi popote...

Hapa tunaomba wanasheria watufafanulie, possibilities & impossibilities za kisheria kwa huyu haramu kutokea au kutotokea mahakamani..
 
Hakika, tusubiri tuone muda ni jawabu la haya maswali yote
Ila wamwachie TU , serikali itaogopa maana lissu atakua kaongezewa umaarufu na UNAJUA LISSU NI VICTOR always LISSU NI VICTOR anapendwa mpaka na BAADHI ya Wana CCM

Hivyo akiitisha mkutano wa hadhara atawagalagaza sana ndio mwanzo wa serikali kupoteza mvuto kwa asilimia kubwaaa
 
Back
Top Bottom