Hawa ndio mashahidi wa Lissu, iwapo mahakama itaamua kwamba ana kesi ya kujibu

Hawa ndio mashahidi wa Lissu, iwapo mahakama itaamua kwamba ana kesi ya kujibu

Asante kwa kunipa elimu mkuu,

Basi itakuwa kazi kweli kweli kama itahitajika kuwa hivyo

Ipo hivi mkuu, kwenye kesi hii mahakama ndio ipo kwenye "trial". Judges ndio wamewekwa kwenye jaribio na wanasiasa. Huyo TL ni genius kwenye eneo hilo. Waliotegwa ni majaji hapo, sababu huko mbele watalazimika kutoa amri ya kuwaita mabosi wao waje kutoa ushahidi.
Raisi anakete moja tuu, ana haki ya kutoa ushahidi wake kwa maandishi "written statement" ila sio kwamba atawakilishwa na mtu.
 
Huyo "Paul mayala" wako alisema maana ya "jamuhuri itakuwa imepumuliwa kisogoni"!!??
Maana yake kwa tafsiri isiyo sahihi " MBU yupo kwenye korodani alafu unachukua nyundo.. kumpiga nayo kwa lengo la kumuangamiza"

When a mosquito lands on your private parts, you don’t use a hammer to kill it—you’ll hurt yourself more than the mosquito.

“Mbu akikutua sehemu nyeti, usichukue nyundo kumuua—utajiumiza zaidi kuliko utakavyomuua mbu"

NB. Don’t use excessive force to solve a small problem; you may end up hurting yourself more than the problem does.
 
JE WAJUA?

KAMA KESHO MAHAKAMA ITASEMA MHE TUNDU LISSU ANAKESI YA KUJIBU, RAISI ATAPASWA KUFIKA MAHAKAMANI KAMA SHAHIDI WA LISSU?


Kama mahakama itaona kesi iendelee basi Tundu Lissu anaweza kuistajabisha Dunia kwenye uwanja wa mahakama akiwapitisha Vigogo kwenye flampeni ya Mafuta ya Sheria. Natamani kusikia sauti ya Sheria! Msamiati ya Haki, chenga za Courtroom.

Natamani kuona cross examination ya Genius huyu akiwapitisha mashahidi wake kwenye njia ya Sheria kama Safari ya Loliondo kwa babu Ambokile Mwasapile kupata Kikombe cha haki. naogopa lakini ni salama. Na Hawa ndio mashahidi wa Lissu 15 on the stage.

1. Samia Suluhu Hassan – Rais haramu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

2. Dkt. Philip Mpango – Makamu wa Rais Mstaafu

3. Kassim Majaliwa – Waziri Mkuu Mstaafu

4. Jenerali Camillius Wambura – Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania. (IGP)

5. Ramadhani Kingai – Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI)

6. Suleiman Mombo - Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

7. Ramadhani Ng’anzi – DCP — Deputy Commissioner of Police Naibu Kamishna wa Polisi

8. Agatha Atuhaire – Mwandishi wa habari/ mwanaharakati kutoka Uganda

9. Boniface Mwangi – Mwanaharakati wa Kenya

10. John Marwa – Mkurugenzi wa Jambo TV

11. Amani Golugwa – Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA

12. John Heche – Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA

13. John Mnyika – Katibu Mkuu wa CHADEMA

14. Jaji mstaafu Willy Mutunga – Kenya

15. Martha Karua – Mwanasiasa na wakili kutoka Kenya.

Ukisikia ukimeza ya moto kutema Hutaki ndio hii, kesi hii ilipofikia ni kidonda kwenye tako, kukaa panauma kulala panauma, anyway ngoja nisubili Ijumaa, nione tunatema au Tunameza.
Ila huko chadema wote ni wehu!
 
Back
Top Bottom