Hawa ndio mashahidi wa Lissu, iwapo mahakama itaamua kwamba ana kesi ya kujibu

Mandela alikaa gerezani miaka 27
‼️ABDUL ANAWASHINIKIZA MAJAJI WATOE UAMUZI WA KWAMBA MHE.LISSU ANAKESI YA KUJIBU‼️

Jaji Ndunguru na japo lake walishaandika uamuzi kwamba Mhe. Lissu hana kesi ya kujibu.

Lakini cha ajabu ni kwamba tangu juzi, Jaji Ndunguru na jopo lake wanakabiliwa na shinikizo kubwa kutoka kwa Mtoto wa Nduli Idd Amin Mama Abdul pamoja na baadhi ya maofisa wa TISS ambao wanataka Jaji Ndunguru na japo lake wamkandamize Mhe. Lissu kwa kusema kwamba anakesi ya kujibu licha ya kwamba hata wao wanajua kwamba hana kesi ya kujibu.

Jana, Abdul alituma watu wa TISS mahali ambapo Jaji Nduguru na wenzake wanafanyia kazi zao ambapo watu hao wa TISS walimpelekea Jaji Ndunguru UAMUZI ambao umeandikwa TISS & Abdul, ambao unasema kwamba Mhe. Lissu anakesi ya kujibu, wamemwambia Jaji Ndunguru kwamba lazima ausome huo UAMUZI kama ulivyo wasipunguze wala kuongeza neno.

Abdul na watu wa TISS wanafanya haya lengo ni kumkomoa Mhe. Lissu ili aendelee kusota Gerezani, Wanadai kwamba Mhe. Lissu anakiburi kwasababu mara kadhaa Nduli Idd Amin Mama katuma watu Gerezani wakamwambie Mhe. Lissu kwamba Nduli yupo tayari kumsamehe ila sharti lake ni kwamba lazima Mhe. Lissu akubali kuipeleka CHADEMA kwenye Maridhiano, Na Mhe. Lissu majibu yake mara zote huwa anawaambia haitaji kusamehewa kwasababu hakuna kosa alilotenda ila kama wanafuta kesi, wafute kwasababu ni kesi ya uwongo.

Yani, yale yale maujinga ambayo Abdul na Prof. Kabudi walifanya kwenye report ya Tume ya Jaji Chande ndo hayo hayo anarudia kwenye uamuzi wa kesi ya Mhe. Lissu.

Nchi yetu imefika pabaya sana, Imagine Majaji na usomi wao wote then anakuja mtu mwenye ubongo wa kuku kama Abdul ambae hana shule hana, anawaelekeza cha kufanya, Abdul hana nafasi yoyote Serikalini lakini amefika mahali sasa anaingilia hadi uhuru wa Mahakama na Jaji Mkuu anaona sawa.

Mliokaribu na hawa Majaji waambieni kwamba kama wataamua kusoma UAMUZI ambao wamepewa na TISS, wajiandae kisaikolojia maana watakutana fedheha aliyokutana nayo Jaji Chande mara baada ya kusoma Report ya uwongo aliyoandikiwa na Kabudi na Abdul kuhusu Maandamano ya Oktoba 29.

Jambo jingine endapo watafuata maelekezo ya Abdul na TISS, historia itawakumbuka na Dunia haitasema uamuzi uliandikwa na TISS wala Abdul, bali itasema Jaji Nduguru na jopo lake walitoa uamuzi wa hovyo, walitumia nafasi zao za uJaji kukandamiza Haki ya Mhe. Lissu.
 
Ila wamwachie TU , serikali itaogopa maana lissu atakua kaongezewa umaarufu na UNAJUA LISSU NI VICTOR always LISSU NI VICTOR anapendwa mpaka na BAADHI ya Wana CCM

Hivyo akiitisha mkutano wa hadhara atawagalagaza sana ndio mwanzo wa serikali kupoteza mvuto kwa asilimia kubwaaa
Wana ccm wasio wana ccm maslahi wanampenda,na wana ccm wacha Mungu wawe wakristo au waislam kindaki kindaki,wapenda haki na wapenda pepo wote hao wanampenda
 
JE WAJUA?

KAMA KESHO MAHAKAMA ITASEMA MHE TUNDU LISSU ANAKESI YA KUJIBU, RAISI ATAPASWA KUFIKA MAHAKAMANI KAMA SHAHIDI WA LISSU?

Kama mahakama itaona kesi iendelee basi Tundu Lissu anaweza kuistajabisha Dunia kwenye uwanja wa mahakama akiwapitisha Vigogo kwenye flampeni ya Mafuta ya Sheria. Natamani kusikia sauti ya Sheria! Msamiati ya Haki, chenga za Courtroom.

Natamani kuona cross examination ya Genius huyu akiwapitisha mashahidi wake kwenye njia ya Sheria kama Safari ya Loliondo kwa babu Ambokile Mwasapile kupata Kikombe cha haki. naogopa lakini ni salama. Na Hawa ndio mashahidi wa Lissu 15 on the stage.

1. Samia Suluhu Hassan – Rais haramu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

2. Dkt. Philip Mpango – Makamu wa Rais Mstaafu

3. Kassim Majaliwa – Waziri Mkuu Mstaafu

4. Jenerali Camillius Wambura – Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania. (IGP)

5. Ramadhani Kingai – Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI)

6. Suleiman Mombo - Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

7. Ramadhani Ng’anzi – DCP — Deputy Commissioner of Police Naibu Kamishna wa Polisi

8. Agatha Atuhaire – Mwandishi wa habari/ mwanaharakati kutoka Uganda

9. Boniface Mwangi – Mwanaharakati wa Kenya

10. John Marwa – Mkurugenzi wa Jambo TV

11. Amani Golugwa – Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA

12. John Heche – Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA

13. John Mnyika – Katibu Mkuu wa CHADEMA

14. Jaji mstaafu Willy Mutunga – Kenya

15. Martha Karua – Mwanasiasa na wakili kutoka Kenya.

Ukisikia ukimeza ya moto kutema Hutaki ndio hii, kesi hii ilipofikia ni kidonda kwenye tako, kukaa panauma kulala panauma, anyway ngoja nisubili Ijumaa, nione tunatema au Tunameza.
Kumbe mashahidi tayari wapo wazi,nilijua kua mashahidi ni siri.Hivi unaweza kumlazimisha mtu kua shahidi wako?
 
Mleta mada unayo taarifa kuhusu Rais,PM na VP katika ushahidi au mahakamani kwa kutumia hii kanuni?Competent but not Compellable Witnesses
 
Moto utapelekwa sana
 
Sheria inasemaje? Ukimtaja MTU kwamba ni shahidi wako lazima akubali?
 
Sina taarifa. Weee weka hapa hiyo taarifa
Basi ni vizuri wakati mwingine tupate usahihi wa mambo haya kuliko kujifurahisha tu kamanda. Hamna mahakama yenye uwezo wa kuandika summons kwa Rais ,VP,PM labda wakitoa kama ombi ambalo ofisi hizo aziwezi pia kulazimishwa labda mtu mwenyewe akubali kufanya hivyo. Kanuni hii inawatoa kwenye hiyo list
Competent but not Compellable Witnesses. Pia ni vizuri mkasoma sheria hii mkuu "Presidential Affairs Act
 
Back
Top Bottom