Hawa ndio mashahidi wa Lissu, iwapo mahakama itaamua kwamba ana kesi ya kujibu

Ila wamwachie TU , serikali itaogopa maana lissu atakua kaongezewa umaarufu na UNAJUA LISSU NI VICTOR always LISSU NI VICTOR anapendwa mpaka na BAADHI ya Wana CCM

Hivyo akiitisha mkutano wa hadhara atawagalagaza sana ndio mwanzo wa serikali kupoteza mvuto kwa asilimia kubwaaa
Hii kesi na misimamo ya Lissu kukataa kununuliwa kwa kiasi kikubwa imempa Lissu umaarufu mkubwa, na hofu yao kuu kuhusu kumwachia Lissu ni jinsi ambavyo nguvu ya CHADEMA inaenda kurudi upya, kama Lissu angekuwa mtu wa kupenda rushwa wangeweza kumpa pesa yeyote ilimradi arudi ubelgiji ila ndo hivyo mwamba amekataa
 
Lissu inasemwa toka udogo wake alikuaga na hii mentality siku zotee na aliwai kumuuliza nyerere swali gumu

Viherehere wakamkamata ila nyerere akasema mwachieni kijana alikua na courage sana
 
JE WAJUA ?

KAMA KESHO MAHAKAMA ITASEMA MHE TUNDU LISSU ANAKESI YA KUJIBU, RAISI ATAPASWA KUFIKA MAHAKAMANI KAMA SHAHIDI WA LISSU?

Na Emily Mwakilembe

Kama mahakama itaona kesi iendelee basi Tundu Lissu anaweza kuistajabisha Dunia kwenye uwanja wa mahakama akiwapitisha Vigogo kwenye flampeni ya Mafuta ya Sheria. Natamani kusikia sauti ya Sheria! Msamiati ya Haki, chenga za Courtroom

Natamani kuona cross examination ya Genius huyu akiwapitisha mashahidi wake kwenye njia ya Sheria kama Safari ya Loliondo kwa babu Ambokile Mwasapile kupata Kikombe cha haki. naogopa lakini ni salama. Na Hawa ndio mashahidi wa Lissu 15 on the stage.

1. Samia Suluhu Hassan – Rais haramu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

2. Dkt. Philip Mpango – Makamu wa Rais Mstaafu

3. Kassim Majaliwa – Waziri Mkuu Mstaafu

4. Jenerali Camillius Wambura – Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania. (IGP)

5. Ramadhani Kingai – Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI)

6. Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

7. Ramadhani Ng’anzi – DCP — Deputy Commissioner of Police Naibu Kamishna wa Polisi

8. Agatha Atuhaire – Mwandishi wa habari/ mwanaharakati kutoka Uganda

9. Boniface Mwangi – Mwanaharakati wa Kenya

10. John Marwa – Mkurugenzi wa Jambo TV

11. Amani Golugwa – Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA

12. John Heche – Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA

13. John Mnyika – Katibu Mkuu wa CHADEMA

14. Jaji mstaafu Willy Mutunga – Kenya

15. Martha Karua – Mwanasiasa na wakili kutoka Kenya.

Ukisikia ukimeza ya moto kutema Hutaki ndio hii, kesi hii ilipofikia ni kidonda kwenye tako, kukaa panauma kulala panauma, anyway ngoja nisubili Ijumaa, nione tunatema au Tunameza.
Kutokana na shauri la uhaini lililopo mbele ya Mahakama Kuu, licha ya ushahidi uliokwishatolewa, jopo la majaji watatu litajikita katika "mens rea"na "actus reus" ili kubaini kuwa kuna kesi ya kujibu ama la

Matamko mengi ya wanasiasa wawapo majukwaani hutumia mbinu ya "salesman puffery" ili kuvutia na kujenga ushawishi kwa hadhira zao. Matamko kama hayo hutamkwa hata na viongozi wengi wenye maslahi na chama tawala.

Tulisikia tamko la CDM kusambaza vijidudu ya Ebola ili kuvuruga uchaguzi, zipo kauli za mtu kumiliki vikosi vya Mbwa mwitu ili kuzuia maandamano, zipo kauli za mtu akipewa madaraka hata ya siku moja ataifutilia mbali CDM.

Zipo pia kauli kuhusu wale wanaowapinga viongozi wakipotezwa wala Jeshi la Polisi lisisumbuke kuwatafuta, zipo kauli za mtu kujisifu kuwa madiwani hawakutumia nguvu zao kupata nafasi hizo, bali yeye alishiriki kuendesha kambi za kuhujumu zoezi la uchafuzi, zipo kauli mtu kujitapa mbele hadhira akijinadi kuwa alikuwa mshirika mkuu katika kambi za siri za mateso dhidi ya wapinzani.

Kauli zote hizi zilionyesha nia, maneno, pamoja na matendo yenye kuthibitisha jinai dhidi yao, lakini wahusika hawakuchuliwa hatua yeyote ile kutokana na sababu za "impartiality & impunity"

Kwa hiyo kwa siku ya kesho lolote lile linaweza kutokea, kwa kuwa "kunya anye kuku akinya bata kaharisha" Ashakhum si matusi.
 
Lissu inasemwa toka udogo wake alikuaga na hii mentality siku zotee na aliwai kumuuliza nyerere swali gumu

Viherehere wakamkamata ila nyerere akasema mwachieni kijana alikua na courage sana
kuhusu kumuuliza swali gumu nyerere sina hakika ila nnauhakika IGP mstahafu omari mahita alishawahi kukwaruzana na lissu jkt itende mbeya mwaka 1986 wakati lissu akiwa jkt itende na mahita akiwa pale kama ocd kama skosei.
 
Sasa usemi wa kwamba hamna aliye juu ya sheria waliuleta wanini?
Wengine wote tuko CHINI ya sheria..

Lakini yupo mmoja aliye JUU ya sheria, ana cheo kiitwacho kwa Tanganyika "Rais..!"

Kwa sasa mtu huyu ni mwanamke na Jina lake anaitwa Samia Suluhu Hassan..

Mimi natamani kesi hii ifikie hatua hii, yaani wakosee na waseme "Tundu Lissu ana kesi ya kujibu..."

Na tukumbuke kuwa, Tundu Lissu alikwisha Sema akianza kujitetea, utetezi wake yeye binafsi unaweza kuchukua siku 3 - 7 kabla hajaaza kuita mashahidi wake..

Na Mimi nafikiri, tusiitazame kesi hii kama mateso kwa Tundu Lissu...

Na kuwa anateswa bila makosa, hili halina ubishi. Lakini kesi hii inafunua mambo mengi dhaifu na ya hovyo katika mfumo wetu wa kisheria na haki jinai ambayo huku mbele yatatumika kama "foundation stone" ya kufanyia marekebisho sheria nyingi..

Bila shaka, Mungu Yehova kaamua kumtumia Tundu Lissu ktk namna ya kumpitisha katika uvuli wa mauti na moto Ili kuleta mabadiliko chanya katika taifa la Tanganyika..

Hebu fikiri kuhusu Yesu Kristo..

Mungu Yehova aliamua kumtoa binadamu mmoja apitie wakati mgumu wenye mateso na maumivu ili kuikomboa Dunia na watu wake toka kwenye mikono ya maharamia na hayawani chini ya kiongozi wao mkuu Shetani Ibilisi...

Mtu huyo aliitwa Yesu Kristo..
Akaonewa sana
Akasingiziwa kila kosa na udhalimu
Akateswa kwa ajili ya wengine
Akatukanwa kila aina ya matusi..
Akabezwa pasipo haki
Akadhalilishwa na kila aina ya dhalilisho..

Watu wakadhani anateswa na kuonewa bure tu lakini ukweli ni kuwa, hayakuwa bure hayo bali yalibeba kusudi na mpango mahususi wa Mungu Yehova..

Watu wakadhani watamuua tu na kumpoteza, lakini Mungu aliuhifadhi uhai wake intact...

Hakufa, yu hai milele na milele na ktk yeye nasi twapata huo uhai. Amina🙏🙏🙏

Ni kama tu ilivyo leo. Wanamuonea na kumtesa TL wakidhani ni kwa manufaa yao, ni kulinda maslahi yao ya kiuchumi na kisiasa lakini wasijue kuwa huo ndio uangamivu wao..

Tundu Lissu hatafuka kifo cha mapenzi yao abadani...!!

Mungu Yehova anauhifadhi uhai wa TL hata pale utimilifu wa wakati na majira ya kufa kwake kwa mapenzi yake Mungu yatakapofika, na SI kwa mapenzi wala wakati wao...

Wanafanya haya huku ufahamu na akili zao zikiwa completely blinded wasiweze kutambua kilicho mbele yao..

Furahini na kushangilia enyi nchi kwa kuwa saa ya ukombozi na wokovu wako umewadia. Amina🙏🙏

Let's wait and see the end of this stupid drama..
 
Lakini wao hawatasimama mahakamani,watawakilishwa na mwanasheria mkuu wa serikali bilashaka
Shahidi anawakilishwa vipi mahakamani? Je shahidi ailiona? Alisikia? Aliamrisha? Alizuia?

Mwanasheria Mkuu wa Serikali anahusika vipi na matendo binafsi wa Samia au Mpango?

Mkapa alipokuwa Rais aliitwa binafsi katika shauri la Dr. Mahalu kutoa ushahidi na akaenda kwa nini hakuwakilishwa na Mwanasheria Mkuu?

Kwa hili hakuna namna Samia lazima apambane na maswali ya dodoso ya Lissu na Katuga. Hakuna namna!
 
JE WAJUA ?

KAMA KESHO MAHAKAMA ITASEMA MHE TUNDU LISSU ANAKESI YA KUJIBU, RAISI ATAPASWA KUFIKA MAHAKAMANI KAMA SHAHIDI WA LISSU?

Na Emily Mwakilembe

Kama mahakama itaona kesi iendelee basi Tundu Lissu anaweza kuistajabisha Dunia kwenye uwanja wa mahakama akiwapitisha Vigogo kwenye flampeni ya Mafuta ya Sheria. Natamani kusikia sauti ya Sheria! Msamiati ya Haki, chenga za Courtroom

Natamani kuona cross examination ya Genius huyu akiwapitisha mashahidi wake kwenye njia ya Sheria kama Safari ya Loliondo kwa babu Ambokile Mwasapile kupata Kikombe cha haki. naogopa lakini ni salama. Na Hawa ndio mashahidi wa Lissu 15 on the stage.

1. Samia Suluhu Hassan – Rais haramu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

2. Dkt. Philip Mpango – Makamu wa Rais Mstaafu

3. Kassim Majaliwa – Waziri Mkuu Mstaafu

4. Jenerali Camillius Wambura – Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania. (IGP)

5. Ramadhani Kingai – Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI)

6. Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

7. Ramadhani Ng’anzi – DCP — Deputy Commissioner of Police Naibu Kamishna wa Polisi

8. Agatha Atuhaire – Mwandishi wa habari/ mwanaharakati kutoka Uganda

9. Boniface Mwangi – Mwanaharakati wa Kenya

10. John Marwa – Mkurugenzi wa Jambo TV

11. Amani Golugwa – Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA

12. John Heche – Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA

13. John Mnyika – Katibu Mkuu wa CHADEMA

14. Jaji mstaafu Willy Mutunga – Kenya

15. Martha Karua – Mwanasiasa na wakili kutoka Kenya.

Ukisikia ukimeza ya moto kutema Hutaki ndio hii, kesi hii ilipofikia ni kidonda kwenye tako, kukaa panauma kulala panauma, anyway ngoja nisubili Ijumaa, nione tunatema au Tunameza.
Hatutamuachia kesho ili kuzuia asihudhurie kikao cha baraza kuu CHADEMA 14, September.

Tumekubaliana awe na kesi ya kujibu baada ya miezi kama minne hivi DPP ataiondoa hiyo kesi mahakamani.
 
Hamtafanikiwa milele maana imeandikwa;

Ayubu 5:12-15 SUV
"....Yeye huyatangua mashauri ya wadanganyifu, Mikono yao isipate kuyatimiza makusudi yao. Yeye huwanasa wenye hekima katika hila yao wenyewe; Na mashauri ya washupavu yaharibika kwa haraka. Wao hupatwa na giza wakati wa mchana, Hupapasa mchana vilevile kama usiku. Lakini yeye huokoa na upanga wa kinywa chao, Hata kumwokoa mhitaji na mkono wake aliye hodari..."​

Katikati ya GIZA nene, NURU hushinda...

Katikati ya udhalimu na uonevu, HAKI hutamalaki na kushinda...

Hekima yenu ya kipuuzi ndiyo hiyo hiyo itakayowanasa na kujiangamiza sawia...

Unataka kuwa na hakika na hili? Muulize Herode na Farao nini kiliwapata katikati ya walichodhani na kujiona Wana maarifa na hekima kumbe ni upuuzi uliogeuka hekima machoni pao wenyewe na wakaamgamia...

NA HILI NDILO NENO LA BWANA MUNGU ALIYE HAI NA ITAKUWA HIVYO HIVYO. Amina🙏🙏
 
Lakini wao hawatasimama mahakamani,watawakilishwa na mwanasheria mkuu wa serikali bilashaka

Kisheria hakuna shahidi anayeweza mpa ushahidi wake mtu mwingine amsaidie/kumwakilisha kitoa ushahidi wake. Hiyo ni "principle of natural justice", hao watu waliotajwa wataitwa kama mashahidi sio wenye kesi.
Raisi Mstaafu Mkapa, alikwenda kutoa ushahidi katika kesi ya Balozi Costa Mahalu.
Kesi ilianza akiwa Raisi wa JMT.
 
Hamtafanikiwa milele maana imeandikwa;

Ayubu 5:12-15 SUV
"....Yeye huyatangua mashauri ya wadanganyifu, Mikono yao isipate kuyatimiza makusudi yao. Yeye huwanasa wenye hekima katika hila yao wenyewe; Na mashauri ya washupavu yaharibika kwa haraka. Wao hupatwa na giza wakati wa mchana, Hupapasa mchana vilevile kama usiku. Lakini yeye huokoa na upanga wa kinywa chao, Hata kumwokoa mhitaji na mkono wake aliye hodari..."​

Katikati ya GIZA nene, NURU hushinda...

Katikati ya udhalimu na uonevu, HAKI hutamalaki na kushinda...

Hekima yenu ya kipuuzi ndiyo hiyo hiyo itakayowanasa na kujiangamiza sawia...

Unataka kuwa na hakika na hili? Muulize Herode na Farao nini kiliwapata katikati ya walichodhani na kujiona Wana maarifa na hekima kumbe ni upuuzi uliogeuka hekima machoni pao wenyewe na wakaamgamia...

NA HILI NDILO NENO LA BWANA MUNGU ALIYE HAI NA ITAKUWA HIVYO HIVYO. Amina🙏🙏
Tumeshamaliza atatoka kwa DPP kuondoa kesi mahakamani.
 
Kisheria hakuna shahidi anayeweza mpa ushahidi wake mtu mwingine amsaidie/kumwakilisha kitoa ushahidi wake. Hiyo ni "principle of natural justice", hao watu waliotajwa wataitwa kama mashahidi sio wenye kesi.
Raisi Mstaafu Mkapa, alikwenda kutoa ushahidi katika kesi ya Balozi Costa Mahalu.
Kesi ilianza akiwa Raisi wa JMT.
Asante kwa kunipa elimu mkuu,

Basi itakuwa kazi kweli kweli kama itahitajika kuwa hivyo
 
Shahidi anawakilishwa vipi mahakamani? Je shahidi ailiona? Alisikia? Aliamrisha? Alizuia?

Mwanasheria Mkuu wa Serikali anahusika vipi na matendo binafsi wa Samia au Mpango?

Mkapa alipokuwa Rais aliitwa binafsi katika shauri la Dr. Mahalu kutoa ushahidi na akaenda kwa nini hakuwakilishwa na Mwanasheria Mkuu?

Kwa hili hakuna namna Samia lazima apambane na maswali ya dodoso ya Lissu na Katuga. Hakuna namna!
Huyu mama si atapagawa hapo mahakamani
 
Back
Top Bottom