Hawa ndio mashahidi wa Lissu, iwapo mahakama itaamua kwamba ana kesi ya kujibu

Hawa ndio mashahidi wa Lissu, iwapo mahakama itaamua kwamba ana kesi ya kujibu

Watu mnashangilia hapa ila anaesota mahabusu ni jamaa nyinyi mnakula maisha tu na familia zenu uraiani

Kesho hawawezi kumuachia abadani na watasema anakesi ya kujibu

Na kitendo chake cha kumuhitaji top na viongozi wengine wa juu kutamfanya kutamfanya aendelee kusota gerezani (na ndio lengo la serikali) akisubiri ujio wa mashahidi huku wao wanaendelea na maisha yao
 
Yaani makamanda wanakwama sijui wapi aisee. Wanamjengea kiburi Lissu huku anaumia...sio watu wema
 
Watu mnashangilia hapa ila anaesota mahabusu ni jamaa nyinyi mnakula maisha tu na familia zenu uraiani

Kesho hawawezi kumuachia abadani na watasema anakesi ya kujibu

Na kitendo chake cha kumuhitaji top na viongozi wengine wa juu kutamfanya kutamfanya aendelee kusota gerezani (na ndio lengo la serikali) akisubiri ujio wa mashahidi huku wao wanaendelea na maisha yao
Hata Mandela alisota huku kina Thabo mbeki wakila maisha uraiani,Hata Yesu alisota ndio huu ukombozi Wakristo tunasema,Tumeokolewa Kwa Neema .
 
‼️ABDUL ANAWASHINIKIZA MAJAJI WATOE UAMUZI WA KWAMBA MHE.LISSU ANAKESI YA KUJIBU‼️

Jaji Ndunguru na japo lake walishaandika uamuzi kwamba Mhe. Lissu hana kesi ya kujibu.

Lakini cha ajabu ni kwamba tangu juzi, Jaji Ndunguru na jopo lake wanakabiliwa na shinikizo kubwa kutoka kwa Mtoto wa Nduli Idd Amin Mama Abdul pamoja na baadhi ya maofisa wa TISS ambao wanataka Jaji Ndunguru na japo lake wamkandamize Mhe. Lissu kwa kusema kwamba anakesi ya kujibu licha ya kwamba hata wao wanajua kwamba hana kesi ya kujibu.

Jana, Abdul alituma watu wa TISS mahali ambapo Jaji Nduguru na wenzake wanafanyia kazi zao ambapo watu hao wa TISS walimpelekea Jaji Ndunguru UAMUZI ambao umeandikwa TISS & Abdul, ambao unasema kwamba Mhe. Lissu anakesi ya kujibu, wamemwambia Jaji Ndunguru kwamba lazima ausome huo UAMUZI kama ulivyo wasipunguze wala kuongeza neno.

Abdul na watu wa TISS wanafanya haya lengo ni kumkomoa Mhe. Lissu ili aendelee kusota Gerezani, Wanadai kwamba Mhe. Lissu anakiburi kwasababu mara kadhaa Nduli Idd Amin Mama katuma watu Gerezani wakamwambie Mhe. Lissu kwamba Nduli yupo tayari kumsamehe ila sharti lake ni kwamba lazima Mhe. Lissu akubali kuipeleka CHADEMA kwenye Maridhiano, Na Mhe. Lissu majibu yake mara zote huwa anawaambia haitaji kusamehewa kwasababu hakuna kosa alilotenda ila kama wanafuta kesi, wafute kwasababu ni kesi ya uwongo.

Yani, yale yale maujinga ambayo Abdul na Prof. Kabudi walifanya kwenye report ya Tume ya Jaji Chande ndo hayo hayo anarudia kwenye uamuzi wa kesi ya Mhe. Lissu.

Nchi yetu imefika pabaya sana, Imagine Majaji na usomi wao wote then anakuja mtu mwenye ubongo wa kuku kama Abdul ambae hana shule hana, anawaelekeza cha kufanya, Abdul hana nafasi yoyote Serikalini lakini amefika mahali sasa anaingilia hadi uhuru wa Mahakama na Jaji Mkuu anaona sawa.

Mliokaribu na hawa Majaji waambieni kwamba kama wataamua kusoma UAMUZI ambao wamepewa na TISS, wajiandae kisaikolojia maana watakutana fedheha aliyokutana nayo Jaji Chande mara baada ya kusoma Report ya uwongo aliyoandikiwa na Kabudi na Abdul kuhusu Maandamano ya Oktoba 29.

Jambo jingine endapo watafuata maelekezo ya Abdul na TISS, historia itawakumbuka na Dunia haitasema uamuzi uliandikwa na TISS wala Abdul, bali itasema Jaji Nduguru na jopo lake walitoa uamuzi wa hovyo, walitumia nafasi zao za uJaji kukandamiza Haki ya Mhe. Lissu.
civil war inayokuja, hawa majaji watakuwa sehemu kubwa ya visababishi- endapo watakubali maelekezo potofu. Naamini hawatokubali wanayoambiwa na huyo kilaza wa kimama, watasimamia nafasi zao vema na historia itawakumbuka,

ila jaji mkuu naye, ...
 
Back
Top Bottom