Hawa ndio members wenye mchango mkubwa hapa JF mwaka 2024

Jina lako kutokea kwenye orodha kama mpandisha uzi kunaleta shaka kama sii mchongo.
 
Siku zote anae toa tuzo na kuandaa tuzo hatakiwi kuwa yeye ndiye mshindi wa hiyo tuzo au kufungamana kivyovyote na wanao andaa ushindi wa tuzo. Hivyo namba moja ni batili
Wivuuuuu mama......

Wivuuuuu mama.....

Hawataki kunifollow .... wivuuuuu
 
watu wenye mchango mkubwa hapa jf
Bantu Lady , ana hekima na busara sana huyu dada.

Nifah , huyu sasa hivi yuko kwenye penzi zito, hashauriki.

Cute Wife , anajitahidi sana kwenye uandishi!

Evelyn Salt , huyu ana majibu fulani ya kisela a.k.a makavu live!

To yeye , huyu anapenda sana yale mambo yetu!

Aaliyyah , huyu anapenda sana kupika!

Shadeeya , hana tofauti sana na To yeye

Lamomy , huyu kama To yeye

Missy Gf , huyu naye kama To yeye

cocastic , huyu nafikiri ndiye gwiji kwenye yale mambo coz yeye mwenyewe aliweka wazi mwenyewe! Kingine: Alisema yeye ni mzuri sana mpaka Makumbusho walimshangaa sana!

Joanah , huyu hana tofauti sana na Evelyn Salt na anapenda sana kusuka mikeka!

leo dada, huyu naye kama To yeye

Hannah , mpole sana huyu dada??

Kapeace , mpole ila jichanganye uone kichambo!

Madame B , huyu mkongwe kwenye kila nyanja!

financial services , huyu, dah, ngoja tukae kimya!

Nb: Wote pokeeni maua yenu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…