Hahahaaa noma sanaππ
Nilivyogundua ni dume jike nilitoka nduki,
Nikasema haya mambo ya kuparamia paramia haya
Sio mbaya mkuu, wazee wa hovyo hovyo hua hatukosekani...π
Uko poa Kaz yako ni kufurahi tu sijawahi ona comment yako yenye kukwazana na watuπSio mbaya mkuu, wazee wa hovyo hovyo hua hatukosekani...π
Hahahaaa noma sana
Utaona moto wake...joke π π πIla wewe upo peace Sana upo peace Sana.
Natamani siku moja nikukorofisheππ nione unavyokuwaππ
Asante dear
Sure binti mpole hana tabu na mtu...Mtoto wa JF huyo.
Nawaambia Vijana wachangamke.
Wakichelewa wazee tutashika hatamu, wasije sema ooh! Sisi wazee hatujiheshimu
πππThanks, heri ya siku ya wanawake na kwako pia na kwa wanawake wote waliomo humu,Kapeace mrembo mwenye madini ya maneno ya busara... πππ
Hannah karembo kapenda umbea na watu wagombane πππππ
Antonnia mrembo mpole, mpenda simulizi. Mkali wa kutag πππ
Kalpana Shunie Makiwendo warembo wa Simba πππ
Shadeeya Numbisa Dream Queen warembo wangu wa Yanga ππ
HAPPY WOMEN'S DAY πππ
Utaona moto wake...joke π π π
Ila mm sipendi tuu mtu anitukane bila kosa au kuutweza utu wangu...
Asante love you, uko muwazi sana hada mambo yetu yaleeπ
Ww mbona huna matusi ???πππ
Kalpaaa!
Usichokipenda Sisi ndio tunakipenda
Muhimu ujifunze kupuuzia na kudharau ndio utadili vizuri na watu wenye matusi na wanaotweza utu wako.
Ukiwamaindi wao ndio furaha Yaoπ
πππThanks, heri ya siku ya wanawake na kwako pia na kwa wanawake wote waliomo humu,
Sifa pekee ya wwnawake wa humu ni kujiamini pamoja na mashambulizi mengi ya mada hasi juu ya wanawake lakini tumekuwepo pasipo kutishika, jf ni mtandao unaoongoza kwa wanaume kukandia, kutweza na kudhalilisha wanawake, kama ingekuwa uoga nadhani kusingekuwemo ke yeyote ni dhahiri, sisi ndo tunaiendesha dunia kwa sasa
Ni wakorofi tu,, [emoji2089][emoji2089]rusha pillow akurushie pig iron ufe[emoji178][emoji178][emoji178]Thanks, heri ya siku ya wanawake na kwako pia na kwa wanawake wote waliomo humu,
Sifa pekee ya wwnawake wa humu ni kujiamini pamoja na mashambulizi mengi ya mada hasi juu ya wanawake lakini tumekuwepo pasipo kutishika, jf ni mtandao unaoongoza kwa wanaume kukandia, kutweza na kudhalilisha wanawake, kama ingekuwa uoga nadhani kusingekuwemo ke yeyote ni dhahiri, sisi ndo tunaiendesha dunia kwa sasa
Tena wewe ndo mwenyekiti, mnaletaga unyumbani kwenu hadi humu hamtaki kukosolewa wala kujibiwa mbovu mnataka kutufanya km wote mmetuoa humu, π, hamna kazi za kufanya mpaka muwe mnatukandia siku saba za wiki?Kundiwa ni muhimu kama kuna vijitabia vya hovyo mtavionyesha.
Hata hivyo hongereni ambao mnaendelea kulinda heshima ya Mwanamke. Jitahidi I kuwakanya Wanawake WENZENU wanaoifanya vitu vya hovyo.
Japo najua Wanawake Hawana uwezo wa kukanyana Kwa sababu hawaheshimiani, wengi mnadharauliana.
Sasa Sisi tukiwakanya mnasema tunawakandia.
Ingia mtandaoni Huko uone Wanawake wachache waliojifanya wanawaonya Wanawake wenzao uone walichoambulia.
Tatizo kubwa la Wanawake ni kupenda kusifiwa muda wote, na ukitaka ugombane na Wanawake wengi basi wakanye au waonye onye uone Moto.
Kheri ya siku ya Wanawake Duniani, Maua na mapambo yetu
π To yeye usiejua kununa