Hawa ndio Wana JF wenye Ligi na wenye falsafa zao humu ndani

Kweli bwana na sasa hivi ukikaa kizembe unajikuta mfumo umekutema siku nyingi,ila shida kwa serikali zetu hizi za Tz & Burundi wanashindwa kuandaa mazingira wezeshi kwa wajasiriamali wa kidigitali kuweza kupiga pesa sijui tatizo ni nini

Wataandaje mazingira ilhali kuna msemo unasema usimwamshe aliyelala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…