Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #361
Articles za Popoma na mpuuzi mmoja mkuu wa Shule ya Mpwayungu village Sec School, ndizo zilinifanya niwe member JF.
Mambo yangu niachie mwenyewe...Hivi wewe ni Mzungu haujui Kiswahili?
Maana Kwa ninavyowajua waswahili hawawezi kuandika sentesi fupi kama zako.
😀😀
Mwanaharakat wa punyeredronedrake
Mwamba anatisha sana na Falsafa yake inayowasaidia vijana wasipate Gonorrhea na Syphils mbupu zikakatika pamoja na kuwa safi kiuchumi..
Ushaijua hiyo falsafa?..Let me know
Preach brother, preach!! [emoji1753][emoji1753][emoji1753][emoji1753]Huwa siwakawizi Wapuuzi na Wanafiki kama huyo. Na hapo Nimemstahi tu kwani siku hizi nakaribia Kuokoka.
Mambo yangu niachie mwenyewe...
JamaniNapenda watu wako real kama mimi yani very real unaona kabisa ndivyo alivyo...
Huyu anaongoza To yeye na Unique Flower japo huyu watu hawamuelewi ila ndivyo alivyo...
Chukua time huna loloteLeo sitaki Kelele zako.
Nimekuambia kaa kwenye foleni utafikiwa tuu
Sasa sii mpaka anipeee....Ulisema akikupea tope unafukua🤨
Mnanionea tuu mie
Mkuu nimezeeka na nina kazi myingi za kuwatibu watu Magonjwa sugu kama maradhi ya ini, maradhi ya ukimwi , maradhi ya Saratani. Maradhi ya kiharusi aka stroke na maradhi Uchawi na mapepo wachafu nibo busy sana katika kuwatibia watu hayo maradhi suguDr. Mzizimkavu siku hizi umeadimika
Shukrani Sana Kwa mafundisho yake, bila Shaka ni msaada Kwa baadhi ya Watu.
Uko busy kama moyo ?Mkuu nimezeeka na nina kazi myingi za kuwatibu watu Magonjwa sugu kama maradhi ya ini, maradhi ya ukimwi , maradhi ya Saratani. Maradhi ya kiharusi aka stroke na maradhi Uchawi na mapepo wachafu nibo busy sana katika kuwatibia watu hayo maradhi sugu
Mkwepu mwamba yeye anatembeza like tu nadhani hata uwa hangaiki kusomaTatizo ni identity.
Yaani kitu kinachomtambulisha MTU.
Yaani kuna Uzi au comment ukiisoma huna Haja ya kusoma username ya MTU, unajua tuu huyu ni flani.
Umbea unatibu shoga angu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kapeace mrembo mwenye madini ya maneno ya busara... [emoji8][emoji8][emoji8]
Hannah karembo kapenda umbea na watu wagombane [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Antonnia mrembo mpole, mpenda simulizi. Mkali wa kutag [emoji8][emoji8][emoji8]
Kalpana Shunie Makiwendo warembo wa Simba [emoji8][emoji8][emoji8]
Shadeeya Numbisa Dream Queen warembo wangu wa Yanga [emoji169][emoji172]
HAPPY WOMEN'S DAY [emoji7][emoji7][emoji7]
Itakua alipata ajira siku hiziJoseverest, huyu member alijipatia umaarufu wa kuwa wa kwanza ku comment kila uzi ukiwasilishwa
Kwa sabb hapa jina ni raraa reree ngojea niseme tu hewalaaaaaa
Mimi nimeamua tu kusema hewalaaaaaaMbona tunasingiziana mambo ya ajabu ajabu? 😲😲😲😲