Hawa ndio Wana JF wenye Ligi na wenye falsafa zao humu ndani

Hawa ndio Wana JF wenye Ligi na wenye falsafa zao humu ndani

Dr. Mzizimkavu siku hizi umeadimika
Shukrani Sana Kwa mafundisho yake, bila Shaka ni msaada Kwa baadhi ya Watu.
Mkuu nimezeeka na nina kazi myingi za kuwatibu watu Magonjwa sugu kama maradhi ya ini, maradhi ya ukimwi , maradhi ya Saratani. Maradhi ya kiharusi aka stroke na maradhi Uchawi na mapepo wachafu nibo busy sana katika kuwatibia watu hayo maradhi sugu
 
Kapeace mrembo mwenye madini ya maneno ya busara... [emoji8][emoji8][emoji8]
Hannah karembo kapenda umbea na watu wagombane [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Antonnia mrembo mpole, mpenda simulizi. Mkali wa kutag [emoji8][emoji8][emoji8]
Kalpana Shunie Makiwendo warembo wa Simba [emoji8][emoji8][emoji8]
Shadeeya Numbisa Dream Queen warembo wangu wa Yanga [emoji169][emoji172]
HAPPY WOMEN'S DAY [emoji7][emoji7][emoji7]
Umbea unatibu shoga angu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom