Moja kwa moja
Lucas mwashambwa,huyu kila akileta habari utasikia waTanzania watetemeshwa na kishindo cha samia.
GENTAMYCINE, huyu ni moja ya member maarufu hapa JF anajulikana kwa michango yake mingi hususani kuhusu simba sc Tanzania,huwa pia anatoa ushauri kwa watu,taasisi,serikali etc
Dkt. Gwajima D anamjua vizuri kwenye suala hili.
Pascal Mayalla, huyu anaheshimika na wengi hapa JF kutokana na mada zake fikirishi kwenye siasa,uchumi,tasnia ya habari etc.
dronedrake na
Liverpool VPN, hawa ukileta mada yoyote ya kuoa utawaona wana-slogan yao kataa ndoa.
raraa reree, huyu huwa anatembeza likes kwenye kila post.
ChoiceVariable, huyu huwa anaponda kazi zote alizofanya JPM na kumsifia Samia mwanzo mwisho. Nimpenda maendelo pia.
cold water,huyu ni mpika chai hapa JF( story zozote za uongo uongo za mahusiano)..
Mshana Jr,mambo ya uganga,mizimu etc utayakuta hapa..
DR HAYA LAND,huyu amejikita kwenye kutoa ushauri hususani wa maisha..
Clegy,huyu anaipenda Tz....to be continued