Hawa ndio Wana JF wenye Ligi na wenye falsafa zao humu ndani

Kabisaa hatupo hapa kubembelezana ww toa yako ya moyoni kama unavyofanya..sema watu wanapenda kufake kufake maisha..

Ni kweli Watu wengi wanapenda ku-fake ili wapendwe na watu wengi hata kama wao hawapo hivyo.
Sisi wengine muda wa ku-fake hatuna.
Watakotupenda watatupenda vivihivi.
Hatufanyi kitu ili tupendwe,

Kupishana mitazamo au utofauti ndio Maisha yenyewe.
Ni Bora nipendwe na watu Wawili wanaonipenda kweli, kuliko kupendwa na watu elfu waliowanafiki.
Ambao wanataka tuu niwapambe pambe, niwabembeleze bembeleze.
 
Kabisaaaa kabisaaa...umemaliza
 

Mama wa kuwalingania. Ila Kwa hicho kizazi usithubutu labda uwe na bima
 
Γ‘ipo mkuu,sema katikati hapa ka ubize kidogo,instanbul akapata ahueni[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Ngoja niongeze List,
Maana kombe unajua kulipambania,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Umemuacha Mzee mwenzako mkiwa Instanbul.
Akija humu Hana WA kujibishana nayeπŸ˜€πŸ˜€
Unajua Watu wabishi wakikosa wakubishana nao wanakuwa wanyonge na wengine hupata mpaka maradhi na Kufa kabisa
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] chedi avae
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hao wote wajingawajinga.

Huyo culture me, Demi, Rebecca, Dr. Mariposa, Anna makirita, na kuna mmoja hivi amenitoka ni genge ambalo ukiwasema Wanawake lazima mmoja wao Atie timu.
Nikiandikaga mada yoyote huwaga najua member gani watakaokuja hapa kujibu mashambulizi 😊😊

Ingawaje siwachukii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…