BAKIIF Islamic
JF-Expert Member
- Jul 11, 2021
- 600
- 1,843
Biblia na Qur'an ziko pamoja na nchi ya Iran, unaweza usitamani kutembea uchi lakini ukawatetea wanaotembea uchi. Kufurahia mwanamke kutembea uchi elewa umefurahia mama wa mtu kuwa uchi.
Naanza kwa kumnukuu mwana JF Donatila aliwahi kuandika humu
''Kama mjuavyo utandawazi umezidi kukua, umekuja na faida lakini pia umekuja na hasara zake hasa katika upande wa mavazi ya wanawake yamezidi kuwa ya utupu.
Sasa mavazi ya utupu yamekuwa yanaonekana ya kawaida ila kiuhalisia ni aibu tena aibu kubwaa sana. Wanaume saivi wameshakomaa yani hata hawavurugwi tena na maungo ya kike. Sababu ni kuonyesha maungo hayo wazi, sasa hawaoni jipya maana wanaona hadharani kwa sana.
Yani sasa ivi utakuta mama mtu mzima anavaa nguo fupi ukiangalia utupu ulee. Njoo sasa maofosini utakuta wadada wanavaa visiketi yani akikaa unaona maini yaleeeee... Huko barabarani sasa utakuta vibinti yani vinejaliwa nyama sasa yani wanavaa vazi unaona utumbo ulee...
Sasa ukija kwa upande wa hawa watoto wetu wadogo wanaokuwa, wanajifunza vile vile...
Tunatengeneza kizazi cha namna gani? Kama watoto nao wataona ni kawaida.''
Mwisho wa kunukuu
.........................................
Leo hii dunia nzima imesimama juu ya kupinga vazi la hijabu na huku likihusishwa tukio la kuuwawa kwa Mahsa Amini ndani ya Iran na maandamano yake kua ni chachu ya kuvunjwa kwa haki za kibinaadamu.
Ajenda hii imekua kubwa ndani na nje ya Irani, na hasa kutokana na kubebwa na vyombo kadhaa vya habari ambavyo ajenda ya vyombo hivyo ni kuhakikisha wanasimamia na kuupeleka mbele ustaarabu wa kimagharibi ulimwenguni, kwa kuupamba na kuonyesha ubaya wa ustaarabu wowote ambao unapingana na wa kwao na hasa unalengwa sana uislamu kwasababu ukristo wamesha malizana nao.
Leo wanaadamu watakua sambamba na wamagharibi juu ya miito yao ya kutetea kuvuliwa kwa vazi la hijabu, lakini kesho watakua kinyume nao juu ya ajenda zao ima za ushoga au nyenginezo.
Imani hizi hizi ndio zimefundisha stara (mavazi ya heshima) lakini tunapinga hilo, ila imani hizi ndio zilizokataza ushoga, hapa tunaunga mkono dini.
Bila ya shaka mwanaadamu yupo njia panda hajui wapi pakuelekea.
Na pia mwanaadamu wa sasa amepoteza uwezo wake wa kufikiri, hali inayopelekea hata kutoelewa muelekeo wa siasa na ustaarabu wake ulimwengu unaelekea muelekeo gani.
Tafakari, tusaidiane kutafakari pia.
Nika Shakarami (16)
Hadis Najafi (23)
Sarina Esmailzadeh (16)
Hana Kia (20)