Hawa ndio Wasakata kabumbu maarufu nchini, mimi nikiwa shule ya msingi huko mkoani!

huyu 14:Said maulid SmG nasikia ulikua moto wa tanuru ,kaa nae mbali kabisa
Winga moja matata sana alikua anateleza kama risasi ndo maana akapewa jina la SMG. Kacheza Simba na Yanga ila Yanga ndo alidumu zaidi pakawa nyumbani kwake, hata alipoondoka kwenda Angola kucheza soka la kulipwa alivyorudi akapewa kazi Yanga hadi leo anatumika kama kocha wa timu za vijana
 
Hamis Thobias Gaga,ibrahimu mbuzi,sanifu Lazaro,Duncan mwamba,innocent Haule,ali maliva,Hussein Masha,Abdallah Bori,Beya Simba,Justine mtekele,Andrew Godwin,Godwin Aswile,James washokela,Itutu kigi,John makelele,ikupilika nkoba,Paulo Rwechungura, masatu magesa,
 
Nakuongezea na hiki kizazi cha dhahabu cha Mtibwa Sugar wazee wa Manungu Turiani Morogoro:
1. Godfrey Kikumbikizi
2. Geoffrey Magoli
3. Steven Nemes
4. Monja Liseki
5. John Mabula
6. Rajab Msuoma
7. Kassim Mwabuda
8. Ramadhan Hamza ‘Kidilu’
9. Kamba Luffo
10. Mecky Maxime
11. Salhina Mjengwa
12. Abubakar Mkangwa
13. Kassim Issa Bedwi
14. Noah Kilimanjaro
15. Zuberi Katwila..
 
Naongezea kidogo
20. Amiri maftah
21. Ramadhan chombo "Redondo"
22. Mohammed banka
23. Mwinyi kazimoto
24. Henry Joseph shindika
25. Haruna moshi Boban
26. Juma K Juma
27. Ivo mapunda
28. Jaja mabao..😁
29. Jeri santo
30.
 
Naongezea kidogo
20. Amiri maftah
21. Ramadhan chombo "Redondo"
22. Mohammed banka
23. Mwinyi kazimoto
24. Henry Joseph shindika
25. Haruna moshi Boban
26. Juma K Juma
27. Ivo mapunda
28. Jaja mabao..😁
29. Jeri santo
30.
30. Athumani Idd ‘chuji’
31. Said Maulid ‘SMG’
32. Nadir Haroub Ali ‘Cannavaro’
 
Bila shaka wewe ni mdogo angu. Mimi nimeanza kufatilia mpira around darasa la 3-4 hivi nimekuta kizazi cha wakina Lunyamila, sekilojo chambua, madaraka selemani, mwamed mwameja, peter manyika n.k
 
Hzi

Hizi ndio zilikuwa zama zetu, Edibili Lunyamila, Steven Nemes, Method Mogela, Zamoyoni Mogella, Said Mwamba Kizota, nk nk.
Hahahaa kumbe bado watoto sana nyie 😀.

Enzi zangu mimi: Iddi Pazi, Juma Pondamali, Hamisi Gaga, Nteze John, Malota Soma, Moses Mkandawile, Musa Kihwelu, Mohammed Kajole, Lilla Shomari, Nico Njohole, Sunday Juma, Mohammed Mwameja, Ramadhani Leny, Hussein Masha, Laurence Mwalusako, Godwin Aswile, kasongo Athumani….

Naweza hata kwenda kwa majirani kwa akina Wilberforce Mulamba au hata kwa akina Kalusha Bwalya. Nikiamua naweza kufika hadi kwa akina Rashidi Yekini na akina Cyril Makanaky 🤣🤣
 
kumbe bado yupo, sioni akipewa airtime kwenye media
 
daah kuna braza alikua maarufu sana mitaa ya kwetu miaka ya 2002 ,kumbe jina la kidilu alitoa huko
 
my agemate for sure.

daah pasipo kumsahau
salum iddi chuji
 
huyu mohamed mwameja nilisikia tetesi kuwa amewahi kuihujumu simba , na wanadai mpaka sasa yuko njema sana kiuchumi!
 
Naongezea kidogo
20. Amiri maftah
21. Ramadhan chombo "Redondo"
22. Mohammed banka
23. Mwinyi kazimoto
24. Henry Joseph shindika
25. Haruna moshi Boban
26. Juma K Juma
27. Ivo mapunda
28. Jaja mabao..😁
29. Jeri santo
30.
hahaaa hapo kwa majaja

Henry joseph shindika nakumbuka alifunga goli taifa dhidi ya ghana
 
Bila shaka wewe ni mdogo angu. Mimi nimeanza kufatilia mpira around darasa la 3-4 hivi nimekuta kizazi cha wakina Lunyamila, sekilojo chambua, madaraka selemani, mwamed mwameja, peter manyika n.k
nilikua bado kid or sijazaliwa kabisa
coz mpaka sasa niko around 27yr
 
haloo, faza sio poa.
 
Kitwana selemani,Hussein mwakuruzo,Clement kahabuka,mkama Ntale,issa manofu,kufa kunoga,mtemi Ramadhan,Hassan Afif,mavumbi Omari,makumbi juma,juma mkambi,sahau kambi,Lila shomari,Twarib Hilali,Twaha Hamidu,Abdul Meets,Thomas kipese,saidi korongo,idrisa ngulungu,Thomas nkoma,ibrahimu magongo
 
huyu Hassan Affif ndio baba yake na akram affif anayechezea Quatar?
 
Hzi

Hizi ndio zilikuwa zama zetu, Edibili Lunyamila, Steven Nemes, Method Mogela, Zamoyoni Mogella, Said Mwamba Kizota, nk nk.
Hapa hapanifai kutokana na umri, nikajua ningeona majina ya Kina Kenneth Mkapa, Zamoyoni Mogela, Issa Athumani, Fumo Felician, George Masatu na wengineo.


Nyinyi ni wazee tuu, alafu ndo Unakuta Hum JF mnakimbizana na tutoto Akina Shunie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…