Hawa ni baadhi ya members wa JF wenye uwezo wa kufikiria nje ya boksi

Unachukuliwa positive lakini ukiachana na habari za Yanga utakuwa mtu pia sana.
Huo ni utani wa jadi
Nakuwepo hapa kuwatania wana Simba watani zangu akina Kalpana, japo amekimbia jukwaa lakini uzuri alituaga baada ya kufungwa kuwa Kwa Sasa anaelekeza akili kwenye no reform no election'
 
Sema huu mwandiko wako umekaa kinoko kinyama mkuu
 
Ndio maana hajali chochote mtakachomwambia anakipokea😂😂

Sema huyu jamaa ako na haiba ya uongozi kwasababu ni mvumilivu lakini pia ako na misimamo kwa maana anaamini kwenye kile anachokisimamia hata watu wote muwe kinyume na yeye.
Ana uwezo wa kuvumilia kubezwa ndo maana huwa napenda kumtania.
 
Ona hii ponjoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…