Hawa ni watu waliomdhihaki Mungu na kupatwa na shida

Hawa ni watu waliomdhihaki Mungu na kupatwa na shida

"Mungu Aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanaye wa pekee ili kila mtu amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele Yohana 3:16"


Hivi baba unawezaje kumtoa mwanao wa pekee Afe kwa ajili ya makosa ya wengine ili hali msababisha makosa hayo (Shetani) yupo na wewe ndiye uliyemuumba na unamuweza. Kwa nini usimuue ili hawa binadamu uliowaumba waishi kwa raha!?


Kwenye kitabu cha Ayubu kuna vifungu huwa vinaonesha Mungu na Shetani walikuwa wakiongea na Mungu anamuuliza Shetani kama amemuona mtumishi wake Ayubu, Shetani anamjibu. Kwa nini Mungu amuulize Shety boy kama kamuona!?


Ikiwa yeye Mungu yupo kila sehemu na anaona kila kitu na yeye ni wa kuabudiwa pekee, kilitokea nini asijitokeze kwa Wazee wetu akawaambia Mimi ndiye ninae paswa kuabudiwa na si kingine ila ni mpaka pale alipokuja Mkoloni kuieneza dini na kuona tulivyokuwa tukiabudu ni ushenzi, tuviache tufuate vya mmishionari!?

Congo Belgium, Biblia ilitumika kama kitabu cha kuhukumia vifo kwa Waafrika wenzetu pindi walipokutwa na makosa. Sasa kama Biblia ni kitabu kitakatifu, iweje kitumike kuhukumia watu Kifo!?

Tangu nakua mpaka leo hii, sijawahi kuona Malaika kachorwa kwa rangi Nyeusi ya Kiafrika ila huwa ni ya kizungu tu na Shetani huwa anachorwa mara zote kwa rangi nyeusi ya Kiafrika na pembe juu.


Mleta uzi, hebu nisaidie kunipa mwangaza kwa hayo maswali yangu.
Maswali mazuri haya.
 
Mungu alikuwepo, yupo na atakuwepo.

Kifo kakiweka yeye baada ya mwanadamu kufanya dhambi.

Na tunakufa ili twende kuishi maisha ya milele.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ngoja nijibu maswali yako

1. Mimi ni mtu naye tambulika kwa majina matatu niliypewa na wazazi wangu

2. Kabla ya kuwepo, sikuwepo. Kuuliza mahali nilipokuwa wakati sipo ni contradiction

3. Hapa nipo kwasababu ya juhudi zangu za kjjiepusha na hatari zinazoweza kufanya nisiwepo, nipo hapa kwasababu cell zangu hazichachoka. Kwa hiyo hakuna nguvu yeyote inayonisukuma

4. Nikitoka hapa kwa namna gani? Kama una maanisha kufa, basi jibu ni simple, kilichokufa hakiwezi kufanya movements yeyote ya kwenda sehemu nyingine, labda kama unakusudia kuzikwa

Kwa hiyo hayo maswali ulivyokosa majibu ndio yalikusababisha mpaka ukaamini Mungu?

ndio maana nikasema yahitaji AFYA BORA YA AKILI la sivyo utatoa povu la wehu na ujuha mtupu.
 
Nachozungumzia ni kuwa matatizo humkuta yeyote hiyo ni nature wala haitegemeani na jinsi unavyo mcha sana Mungu kwamba utakua upo salama.

Kwa hiyo hata kwa hao uliowataja ifahamike kiujumla kua walipata matatizo ya kawaida tu bila kuhusisha element za laana.

Ukiniruhusu nitumie mfano wako wa huyo mmiliki wa meli ya titanic na kwa namna ulivyoeleza kua Mungu alizamisha meli kwasababu ya maneno ya dhihaka aliyoyatoa huyo mmiliki basi mwishoni hata mimi nitakosa busara ya uvumilivu hata mimi pia nitamdhihaki Mungu huyo

Kwasababu ile meli ilivyozama haikumuua mmiliki pekee, iliua watu wengi wakiwemo watoto wadogo wasio na hatia.

Kwanini Mungu anakua mpumbavu na kukosa huruma kwa watoto wadogo kuwaangamiza kwenye dhambi ambayo hawajahusika?

Watoto walichangia vipi kwenye hiyo dhihaka?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ndio maana nikasema yahitaji AFYA BORA YA AKILI la sivyo utatoa povu la wehu tupu.
Naona unatengeneza hoja ionekane mtu mwenye afya bora ya akili ni yule ambaye atajibu hayo maswali kulingana na majibu yako ya mfukoni yalivyo
 
Hizo ni conspiracy tu zinawekwa kwa lengo la kuwaogopesha watu wasijaribu kumdhihaki Mungu

Hii inafanana na ile ya kuwadanganya watu kua ukichana msaafu unageuka kiumbe cha ajabu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na kwa nini asingemuua tu huyo mtengeneza meli na kuipindua meli halafu watu wote wakaopolewa wakiwa hai ili kuuonesha ukuu wake!?

Mambo ya imani haya ukiwa wa ndio, ndio utapelekwa hovyo mnoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Thibitisha Mungu yupo, na kwamba habari za kusema Mungu yupo si hadithi za mapokeo tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kimeumanaaaa
 
Logical non sequitar.

Unajuaje Mungu kaumba dunia na haijatokea kwa namna nyingine yoyote?

Kusema tu "Mungu kaumba dunia" si uthibitisho kwamba Mungu kaumba dunia.

Nimekutaka uthibitishe, wewe unahubiri.

Vivyo hivyo kwa uhai.

Thibitisha Mungu kaweka uhai, usihubiri tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hujiulizi kwanini Ibilisi alifanya kibri na akaomba kwa Allah abakishwe mpama Kiyama kitakapo karibia na Allah akakubali ombi lake ?

Usipo mjua Allah huwezi kujua namna ya ufanyaji wa mambo yake.
Thibitisha hilo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hebu nichunguzie hata mwanafalsafa mmoja akiitwa kwa jina la Stephen Hawkins,niliwahi kusikia naye aliwahi kukana kuwa hakuna Mungu...
 
Yeye hajajibu hoja, na wewe hujajibu hoja.

Mnanijadili mimi.

Hilo linaonesha msivyo na hoja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mungu hadhihakiwi, kwa sababu hayupo.

Dhana ya Mungu inaweza kudhihakiwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom