Hawa ni watu waliomdhihaki Mungu na kupatwa na shida

Maswali mazuri haya.
 
Mungu alikuwepo, yupo na atakuwepo.

Kifo kakiweka yeye baada ya mwanadamu kufanya dhambi.

Na tunakufa ili twende kuishi maisha ya milele.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

ndio maana nikasema yahitaji AFYA BORA YA AKILI la sivyo utatoa povu la wehu na ujuha mtupu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ndio maana nikasema yahitaji AFYA BORA YA AKILI la sivyo utatoa povu la wehu tupu.
Naona unatengeneza hoja ionekane mtu mwenye afya bora ya akili ni yule ambaye atajibu hayo maswali kulingana na majibu yako ya mfukoni yalivyo
 
Hizo ni conspiracy tu zinawekwa kwa lengo la kuwaogopesha watu wasijaribu kumdhihaki Mungu

Hii inafanana na ile ya kuwadanganya watu kua ukichana msaafu unageuka kiumbe cha ajabu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na kwa nini asingemuua tu huyo mtengeneza meli na kuipindua meli halafu watu wote wakaopolewa wakiwa hai ili kuuonesha ukuu wake!?

Mambo ya imani haya ukiwa wa ndio, ndio utapelekwa hovyo mnoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Thibitisha Mungu yupo, na kwamba habari za kusema Mungu yupo si hadithi za mapokeo tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kimeumanaaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hujiulizi kwanini Ibilisi alifanya kibri na akaomba kwa Allah abakishwe mpama Kiyama kitakapo karibia na Allah akakubali ombi lake ?

Usipo mjua Allah huwezi kujua namna ya ufanyaji wa mambo yake.
Thibitisha hilo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hebu nichunguzie hata mwanafalsafa mmoja akiitwa kwa jina la Stephen Hawkins,niliwahi kusikia naye aliwahi kukana kuwa hakuna Mungu...
 
Yeye hajajibu hoja, na wewe hujajibu hoja.

Mnanijadili mimi.

Hilo linaonesha msivyo na hoja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mungu hadhihakiwi, kwa sababu hayupo.

Dhana ya Mungu inaweza kudhihakiwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…