Mimi nipo sehemu ambayo nimeajiri watu zaidi ya 10 na wote wanaishi vizuri sasa unazungumzia ajira tenaKwa behaviour kama hizi utasota sana mtaani, sababu shida ni wewe. Watu wa NGO wengi wanaajirika watapata kwenye NGO nyingine wewe utaendelea kusota mtaani.
... wakati vyuma vikizidi kukaza mwenzie japo ana kamtaji ka kuzunguka gunia mia za mahindi, yeye je?Roho mbaya hizo za kuombea Watanzania wakose kazi. Hata yeye akikosa kwani wewe utaipata hiyo kazi?
Mpe pole na kumuombea kwa Mungu apate kazi nyingine.
Ni roho za kimaskini sana kufurahia watu wanapopata shida.
Ilikuwa tarehe 13th August 2024 siku ya mashoto duniani wakati ambao Trump alinusurika kuuwawa.Balaa lote hili lilianzia hapa
View attachment 3226353
Ndio mnavyojifariji yaan upote kazi leo kesho upate kwingine haya ngoja tuone km unahisi ni rahisi hivyoKwa behaviour kama hizi utasota sana mtaani, sababu shida ni wewe. Watu wa NGO wengi wanaajirika watapata kwenye NGO nyingine wewe utaendelea kusota mtaani.
Waacha maisha yabadirike tutaona mengi watu washachanganyikiwa hadi muda huu Trump 3-0 Afrika ubao unasomeka hivyoMaisha yanaendelea tuwape pole wote wanaopitia magum badala ya kufurahia..
Maisha yanabadila mda wowote!
unaAKILI ndogo sana kheri ulivyonuimwa hiyo kaziKuna Dada mmoja wa JF alikuwa anjiita HR nilimuomba E-mail kipindi nipo chuo mwaka 2010 nilikuwa namalizia diploma
Alinikazia na kuninyima sasa huwa namsalimia Mara Kwa Mara
Baada ya zuio la trump amekuwa mpole Sana .
So acheni hizo nyie waswahili Leo mnarudi mtaani Kuwa jobless
Kiko wapi
Mimi nipo sehemu ambayo nimeajiri watu zaidi ya 10 na wote wanaishi vizuri sasa unazungumzia ajira tena
Doh! Mkuu umeua!Na mpaka watheme
Mbona wewoooo
Uaichojua Mimi huwa natafutia watu KaziView attachment 3226383
Narejea tena kukueleza mdogo wangu, hiyo negative energy ni sumu inakutafuna achana nayo. Ukishakuwa na roho nyeupe Mungu atakufungulia milango, watu wa NGO hizo ni kudra zao watakosa hapa kesho watapata kwingine.
Ukiendelea kuwa mbishi utaniuzi nitakuanika. Umri mkubwa ila mambo ya kitoto na una sahau haraka.Uaichojua Mimi huwa natafutia watu Kazi
Mimi kiumri ninakaribia miaka 46 sasa
Sasa Kwa akili yako nitakuwa natafuta ajira za kulipwa 500K-1M
Hiyo ni impossible
waje tuwape odds waanze kubetNauliza kiko wapi
Huyu jamaa ana sonona.View attachment 3226383
Narejea tena kukueleza mdogo wangu, hiyo negative energy ni sumu inakutafuna achana nayo. Ukishakuwa na roho nyeupe Mungu atakufungulia milango, watu wa NGO hizo ni kudra zao watakosa hapa kesho watapata kwingine.