Hawa wabongo ndugu zetu waliokuwa wanalipwa dola na kutembelea DFP ulikuwa ukimuomba kazi anakuletea dharau sasa kiko wapi?

Mkuu kwahyo ulikuwa unatamani mambo yawe hivo yalivokuwa sio.
 

Wataruhusiwa kuendelea lakini program ya ukimwi pekee wataanza kwa miezi mitatu waiver imeshatoka. Program nyingine sina uhakika
 
Mini si mzima kabisa, ujinga mwingi sana unaota mizizi duniani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
dunia haiwezi kuwa sawa, si una jua Wana kimbilia utajiri wa mali na si Akili.

Kama nakuona unavyo uma meno na ku type kwa speed 🀣🀣🀣.

Mi niko nafatilia chess una ijua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…