Pre GE2025 Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi usalama wa Taifa huwa hawahusishwi kwenye kumfahamu mteule wa Rais?

Kama wanahusishwa,je wako chini ya nani?
Mimi ninasikitika huenda kuna jambo haliko sawa hadi umsikie CDF akisema hadharani mambo mazito kiasi hicho!
 
Hivi usalama wa Taifa huwa hawahusishwi kwenye kumfahamu mteule wa Rais?

Kama wanahusishwa,je wako chini ya nani?
Mimi ninasikitika huenda kuna jambo haliko sawa hadi umsikie CDF akisema hadharani mambo mazito kiasi hicho!
Usalama wenyewe Ni wakimbizi na watusi ,wasomali ,warundi ,na wakongomani unategemea nin hapo
 
Hapa ndiyo mtaelewa kwanini unasikia jamaa ni generali wa kundi fulani la waasi nchini Kongo halafu unakuta ghafla kapotea halafu akiibuka ni generali wa kikosi fulani nchi fulani.
Au ni generali wa kikosi fulani nchini Congo, ghafla anakuwa amehamia nchi fulani kujiunga na Jeshi la kulipwa au alikua nchi fulani mara anahamia kikosi fulani cha waasi kupigana vita ya kulipwa.
 
Unamwongelea aliyetaka kumpindua Nkurunzinza Burundi nini? Godifroid Niyombale, akakimbilia Rwanda halafu juzi akajeruhiwa huko DRC!
 
Kama washakua raia ukimbizi wao hauna tija unless kama hawakuwahi kuwa naturalized.

From my understanding, ni Rais na VP tu ndo lazima wawe watanzania kwa kuzaliwa ila nafasi zingine zote so long as ni mtanzania hata by naturalization inakubalika.
 
Na sasa hawezi kumtoa. Yale yale ya Raisi Mwinyi na Mkuu wa Majeshi wa wakati ule, historia inajirudia. Nadhani hata wanajeshi wameanza kuona kero mambo yanavyofanyika, wala si ajabu. Imefikia hadi wanaonwa kuwa wazoa takataka!
Ilikuaje hiyo ya Mwinyi miaka hiyo, tupe kidogo
 
Kila mtu analalamika hadi CDF- sasa ni Nani mwenye kuwafurusha hao wasio Watanzania … CDF Kashindwa kazi na majeshi yote? Aende na awanyake atutangazie ndio kazi yenyewe ya kulinda Tanzania na mipaka yake au labda hajitambui? CDF wanyake na uwa parade tuwaone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…