Hawa wanaume wanaoleta nyuzi za kulia lia ifike mahali wadhibitiwe

Hahaha haya kazana huenda utawabadilisha, huwezi juwa lol
 
Ukiona ubaya ukapondwa alafu ukautetea ujue upo kwenye line yako iwe past au future yako.
You’re just talking out ur ass for the sake of something I don’t understand!πŸ˜‚

Tunajadili mada unaforce kuniweka mimi kwenye makundi uloshindwana nayo huko!

Explain instead of being so damn vague boy! Hunijui sikujui.. so chill out!
 

Wewe ni mwakilishi hivyo nakuweka kama mhusika kamili.

Kuhusu mjadala.
Ukizingatia kanuni za mijadala nami nitazizingatia bahati nzuri unayejadiliana ni mzoefu na mtaalamu pia.

Nakuweka kwa sababu nawe unaniweka(kwangu sioni tatizo)
 
Wewe ni mwakilishi hivyo nakuweka kama mhusika kamili.
Utajua mwenyeweπŸ’ƒπŸ½
Kuhusu mjadala.
Ukizingatia kanuni za mijadala nami nitazizingatia bahati nzuri unayejadiliana ni mzoefu na mtaalamu pia.
So what??
Nakuweka kwa sababu nawe unaniweka(kwangu sioni tatizo)
Kuna sehemu nimesema nahitaji mwanamme mwenye pesa?
Kuna sehemu nimekwambia nimeolewa?
Kuna sehemu nimetaja umri wangu?
Kuna mahala popote nimekwambia body count au bikra yangu? Sijajihusisha na kundi lolote so usinihusishe! Umeandika kuhusu wanawake kuchuja na kusihi wanaume kutooa singo moms na wasio bikra so nimekuweka kwenye position yako!

Stop this nonsense, kuna vitu ukifanya u end up disgracing yourself!
 

πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“

Nyie ndio wale watu mnaodhani hamchuji. Kuchuja Kupo Binti. Na ukichuja dunia haina huruma itasema umechuja.

Sasa Bora uchuje ubakiwe na heshima ya kujitunza na kujiheshimu walau utakuwa na Amani ya moyo.

Lakini ukiwa umejiharibu alafu uone mitaani na mitandaoni watu wanakandia lazima moyo ulipuke kama hivi.

Uchukie wanaosema ukweli.
Ukichuja umechuja Mzee
 
Hapa unaongelea nature ipi?

Sio wote,wengine tunaongelea uhalisia,yani mwanaume akipishana kidogo tu na mkewe,anakimbilia mitandaoni kulia lia,hilo unaona ni sawa?

Nazungumzia "nature" ambayo mwanaume na mwanamke wote wanasikia maumivu kwa namna sawa.
Mwanaume na yeye anaweza kuumia, kusikia maumivu na eventually kulia.
Hilo suala la mwanaume asilie/asitoe sauti au asieleze hisia zake waziwazi ni suala tumejengewa tuu, kimila na kitamaduni.
Mwanaume na yeye ni kiumbe anasikia na kuhisi maumivu the same way.

Suala la kukimbilia mtandaoni "kulialia" ni chaguo la mtu, awe wa kiume au wa kike. Mwanaume anasikia "maumivu" kwa kiwango sawa, ishu anatibu au anakabiliana vipi na maumivu yake, hilo ni suala lake binafsi.
 
Suala la kukimbilia mtandaoni "kulialia" ni chaguo la mtu, awe wa kiume au wa kike. Mwanaume anasikia "maumivu" kwa kiwango sawa, ishu anatibu au anakabiliana vipi na maumivu yake, hilo ni suala lake binafsi.
Mwanaume anayejielewa as a gentleman,hawezi kukimbilia mitandaoni kwenda kulia lia na kutushtakia sisi issue zake yeye mkewe,

Mwanaume anasimamia nyumba yake kama kiongozi,kukimbilia mitandaoni kutushtakia sisi ambao wala hatuwajui ni upungufu wa akili na kutokujiamini,siri ya ndani inabaki kua ya ndani.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Yani mnapoingia kuoga mnanyoana kweli kuna vitu vizuri huko Ndoani 😁 Akiwa ananinyoa lazima nitadinda tuπŸ˜„
Mnanyoana bafuni ukianguka unapigiza kisogoπŸ˜† ni huko chumbani kwenu, kwanini kudinda utakuwa huna adabuπŸ˜‚
 

Wapo watu hueleza visa na mikasa yao, kwa lengo la kutaka ushauri.
JF kubwa! Sasa ukitafsiri moja kwa moja kama ni "kulialia" , kutokuwa na akili ndio naona sio sawa mkuu.
 
Wapo watu hueleza visa na mikasa yao, kwa lengo la kutaka ushauri.
JF kubwa! Sasa ukitafsiri moja kwa moja kama ni "kulialia" , kutokuwa na akili ndio naona sio sawa mkuu.
Bila shaka hujausona uzi na kuuelewa au unajadili jambo ambalo lipo nje ya mada,

Ukiisoma tena mada ndio utaelewa ninachokisimamia,

Mfano mtu anakuja kulia lia hapa eti ananyimwa unyumba na mkewe,anapewa ushauri atafute mchepuko!

Maisha ya mke na muwe sio yakuomba ushauri mitandaoni,watu hatufanani,utashauriwa ushauri ambao haufanyi kazi kwako,hao wanao kimbilia mitandaoni na kuanika mambo yao ya ndani ya ndoa ni Wavulana sio wanaume.
 

Mimi nimekulewa vizuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…