Labda kwa kuwa umenena wewe ndio itaeleweka.
Mkwere magogoni pale kwake,mtamuona tu anachekacheka ila Ndo mnapelekwa kibla hivyo kimzahamzaha.Mzee wa msoga sijui ila jamaa ni chuma
Kama huo usalama ni wa hivyo watu wasingetekwa na kutupwa kwenye viroba. Ana tungewajua hao watekaji. Hii mikwara eti kuna watu hawalali huwa inanichekesha sana. Ukiona mtu halali usiku ujue hiyo ndio kazi aliyoichagua, na analipwa na sio uzalendo kama unavyotaka ionekane. Hao watu unaowasifia hawalali walikuwa wapi mpaka watu wakajiunganisghia bomba la mafuta? Acha kutoa sifa za kijinga
Nimecheka kwa nguvu ulichoandika hapa, huyo marehemu watu walikuwa wanampa ukweli wake huku mitandaoni, labda kama ulikuwa huingii mitandaoni, na hata sasa mama anaambiwa humu humu mitandaoni. Au kuna mahali umeona huyo mama watu wakizuia asipite barabarani?
Kwenye madhambi Jiwe n a Genge lake walikithiri ndio maana Mungu kaamua kuwapukutisha. Maana sio kwa uhalifu ule aisee.
Lupaso ni nani"""Kule kwetu wanaita "tego"..... kama ni lenyewe na ni kweli Mzee wa Lupaso aliondolewa kinamna, basi litawamaliza mpaka waombe "poo" (watubu na kulipa faini).
Lakini binafsi naamini wanakufa vifo vya kawaida tu (ukiacha bwana yule ambaye naanza kuamini kuna mchezo ulichezwa hata kama ni kupitia corona ambayo alikuwa anaidhihaki sana).
Habari Wakuu,
Inafika hatua naanza kujiuliza hawa watu wanaondoka katika mazingira ya kawaida tu au kuna system inawaondoa kwa kutumia mbinu zilizoenda shule?
Yaani Bwana yule na watu wake wa karibu wanaondoka mmoja baada ya mwingine huku yule mwingine akiponea chupuchupu baada ya kudaiwa kuugua Covid iliyomlaza kitandani na kulazimika kutumia mtungi kuokoa maisha yake ingawa leo kapanda cheo.
Naanza kujiuliza hii Covid ndio inatumika kuwaondoa maana kwa Bongo imekuwa ni too much katika kuondoa vigogo? Na kama ni Covid, mbona wanasita kuitaja? Au ndio wanatumia mwanya huu kuondoa ile inner circle yote ya Bwana Yule?
Yaani sasa napata mashaka kuwa huenda wanaishi na nyoka anaewagonga na kuwatemea sumu pasipo wao kujua. Nyoka huyo huenda asili yake ni humu humu ndani au katengenezwa kutoka huko nje ila kwa kushirikiana na wa ndani.
Hivi sasa hata ukiangalia baadhi ya picha zao za pamoja, utaona jinsi walivyopukutika mmoja baada ya mwingine mpaka unabaki kushangaa.
Kwa mtazamo wangu, hali hii sio ya kawaida wakuu unless ni hisia zangu tu.
Anyway, time will tell.
Hakuna haja ya mawasiliano n Mungu matendo yake kila mtu anayaona. Hilo halihitaji ushahidi wa malaika.Chief unamawasiliano na Mungu kujua kila anayekufa kwanini amekufa?..
Kwa Imani yangu, Mwenyezi Mungu ndiye mjuaji wa hatma ya kila kiumbe cha duniani hapa, uwe mabaya au mazuri na hili linabaki siri yake..
JPM alikuwa kiongozi wa dola, kila dola duniani ina dark side kwa ajili ya usalama wa hiyo dola na ukijipendekeza huko lazima yakukute..sio Tanzania pekee hii ni kote duniani na hata wewe tukikupa dola leo lazima uact....kila dola duniani ina dip state kwa ajili ya kulinda Taifa na ujinga unaoweza kuleta nyufa na kuliangusha dola...ya dola ni dola ndio inayajua...maana mimi na wewe usiku tunalala ila dola hailali..
Vipo viwanda vinaanzishwa kila inayoitwa sikuHivi zile porojo za Tanzania ya viwanda ziliishia wapi? Yaani hapa nilipo ni kama nakuona vile. Kipindi cha propaganda za siasa chafu ulikuwa hushikiki, sasa hivi ni mpole kama maji ya mtungi.
ila yeye amewahi nukuliwa akisema hakuna MTU aliyemsaidia kupata urais.Aisee mi nahisi ni hivi,
Aliyemweka madarakani J ndiye anayefanya hii kazi, hii kazi inafanyika kwa haraka haraka kwa sababu watu wa karibu na J kuna mambo ambayo wanayafahamu kwaiyo wanaondelewa ili kuficha ukweli ambao siku moja ungesemwa.
Kifo cha J kina mauzauza nyuma yake na kuna watu wanafahamu ila Hawapo kwenye kundi lile, hawa wote siku zao ziko mikononi mwa watu.
Aisee mi nahisi ni hivi,

J ni nani na ni nani alimuweka madarakani?Mkuu inakuaje kuhusu Maalim SeifMaiga wa tiss alisoma mchezo kaondolewa faster, sponsor wa JPM aka mzee wa lupaso ansigependa kijana wake kuondolewa kama angekuwa hai kaondoka faster, chief secretary mbobezi wa tiss na naibu wake walisoma mchezo faster wakaondolewa kwa Technics za covid, JPM kafuata, mzee wa buigwe mizimu ya kiha ilikataa ndo pona yake, leo tena gwiji wa madaraja kaondoka, ambaye alijua kila cent ya barabara ilivyokwenda. Very sad indeed.
Kama ni covid mbona wanashare nao shuka kitanda kimoja , chakula denda, jasho lote la usiku wapo wanadunda aka wake zao. Familia zao wako fit kabisa kasoro wao ndo Covid iliwapenda sana.
Wanaojua huu mchezo sasa hivi wako kimya hata purukushani zao za utendaji ni kama wamelowekwa maji ya barafu including PM, lukuvi,kabudi, mzee wa buigwe yupo kama hayupo, cdf, IGP etc
Hapo sasa...hatumii akili, au woga umemjaa amepanick anataka kujilinda, lakin hajui ajilindijeMkuu hao waliokufa walipigwa risasi kama Lisu, mpaka huyu kaamua kutembea na huo mguu wa kuku?
Rais Samia kule Kenya alizifananisha na vile vitambaa wanavyowekea mdomoni mbuzi ili wasile mazao ya watu wakiwa njiani, lakini anazivaa kila anapokuwa karibu na watu wengi.Shujaa alisemaga barakoa inafanana na titi 1 la mwanamke lililokatwa.
Yaani umewaza kama wengi. Kuna kikundi huenda kinawamaliza na sababu ipo. Viongozi wetu waliyojitoa mhanga kwa maendeleo ya wote lazima tuwalinde. Nyoka anayewagonga yumo humu humu bila shaka na anawezeshwa na adui wa maendeleo ya umma wa wananchi wetu. Hii dhana si ya kupuuzwa na wazalendo.Habari Wakuu,
Inafika hatua naanza kujiuliza hawa watu wanaondoka katika mazingira ya kawaida tu au kuna system inawaondoa kwa kutumia mbinu zilizoenda shule?
Yaani Bwana yule na watu wake wa karibu wanaondoka mmoja baada ya mwingine huku yule mwingine akiponea chupuchupu baada ya kudaiwa kuugua Covid iliyomlaza kitandani na kulazimika kutumia mtungi kuokoa maisha yake ingawa leo kapanda cheo.
Naanza kujiuliza hii Covid ndio inatumika kuwaondoa maana kwa Bongo imekuwa ni too much katika kuondoa vigogo? Na kama ni Covid, mbona wanasita kuitaja? Au ndio wanatumia mwanya huu kuondoa ile inner circle yote ya Bwana Yule?
Yaani sasa napata mashaka kuwa huenda wanaishi na nyoka anaewagonga na kuwatemea sumu pasipo wao kujua. Nyoka huyo huenda asili yake ni humu humu ndani au katengenezwa kutoka huko nje ila kwa kushirikiana na wa ndani.
Hivi sasa hata ukiangalia baadhi ya picha zao za pamoja, utaona jinsi walivyopukutika mmoja baada ya mwingine mpaka unabaki kushangaa.
Kwa mtazamo wangu, hali hii sio ya kawaida wakuu unless ni hisia zangu tu.
Anyway, time will tell.
Itakuwa ni vita ya chuki na kimasilahi na wala sio uzalendo maana hamna wazalendo miongoni mwao.Yaani umewaza kama wengi. Kuna kikundi huenda kinawamaliza na sababu ipo. Viongozi wetu waliyojitoa mhanga kwa maendeleo ya wote lazima tuwalinde. Nyoka anayewagonga yumo humu humu bila shaka na anawezeshwa na adui wa maendeleo ya umma wa wananchi wetu. Hii dhana si ya kupuuzwa na wazalendo.
Alikuwa na matatizo yake ya miaka mingi kabla covid haijaibuka.
Punguza chuki za kijinga.
Ila yule mzee naye..!Shujaa alisemaga barakoa inafanana na titi 1 la mwanamke lililokatwa.
Ni mtu mwenye mikakati ya muda mrefu na mfupi, lile tabasamu lake linawadanganya wengi.Mzee wa msoga sijui ila jamaa ni chuma