Hawa watu wanaondoka kawaida au kuna system inawaondoa kwa kutumia akili kubwa sana?

Wewe naona unawazak kama mimi yaani una hisia zinazofanana na zangu kuhusu hivi vifo kwa namna fulani.

All in all, inawezekana kuna mission inaendelea kutekelezwa ila kwa akili kubwa.
Inanijia hisia ya namna hii sababu kwa utashi tu wa kibinadamu ukiwaza kwamba hawa watu ambao ni inner circle ya JPM mbona ndio wananyofoka mmoko mmoko kadri siku zinavyoenda? Kuna nini kimejificha?
 
Corona ipo na ukiizingua inakuzingua.
hawa vigogo na magonjwa yao yasio na tiba, Corona inabambataa..!
tulikosea toka mwanzo tulipo zifuata legacy za Mwendawazimu .
na tunavyochelewa kupata chanjo,
Mashaka matupu. MaCCM hatutawasamehe.
Acha ujinga wewe ulaya wamepata chanjo lkn wanakufa
 
Ipo namna yani kama ni ugonjwa kwanini uwe na selective sampling? Yani ukaangalia wanaonyofolewa ni watu flani specific badala ya random! Ina maana hili tatizo liko kwa ajili ya watu maalum tu? Seems like theres a specific mission ya ki undercover
 
Mahiga down, BWM then, Kijazi na Maalim same day, Dr.Plan akapunch, Dr.Alcohol akasepa na hatimaye Mfugale...hatujui whos next ila huu mtiririko unaashiria kitu flani
 
Ipo namna yani kama ni ugonjwa kwanini uwe na selective sampling? Yani ukaangalia wanaonyofolewa ni watu flani specific badala ya random! Ina maana hili tatizo liko kwa ajili ya watu maalum tu? Seems like theres a specific mission ya ki undercover
Mkuu,

Inawezekana mabalozi wa nyumba kumi wengi wanakufa wewe huwajui tu.

Mbona watu kibao wanaondoka kila siku?

Hao watu fulani specific unawaona vizuri kwa sababu wapo kwenye spotlight.
 
Hatujui akiba yako waliyoweka kwa Mwenyezi Mungu, Walale wanapostahi wote. Nafikiri huko mbeleni yaweza badirishwa majina km barabara tu. Mfano Tazara na Ubungo hapakuwa na sababu ya kuita hayo majina kwakweli na sasa kuleta usumbufu kwa watu.
 
Mkuu,

Inawezekana mabalozi wa nyumba kumi wengi wanakufa wewe huwajui tu.

Mbona watu kibao wanaondoka kila siku?

Hao watu fulani specific unawaona vizuri kwa sababu wapo kwenye spotlight.
Perhaps
 
Dkt Remmy Ongala aliimba wimbo ule "Kifo".
akatuambia namna kifo kilivyokwenda na rafiki yake chidumule hatimaye kifo kikamfyeka nayeye Dr Remmy...kifo hakichagui mtoto, mzee, kijana nk kinafyeka tu...

Tuombe, tusali na kujiombea mwisho mzuri, kifo kipo na kinaanza na yeyote...tupendane..
 
Corona ipo na ukiizingua inakuzingua.
hawa vigogo na magonjwa yao yasio na tiba, Corona inabambataa..!
tulikosea toka mwanzo tulipo zifuata legacy za Mwendawazimu .
na tunavyochelewa kupata chanjo,
Mashaka matupu. MaCCM hatutawasamehe.
Usha kunya ?
 
Kimeumana?

Tulipoandika kukumbusha, wewe na wakulungwa huyu Jmc06 mnazikumbuka kauli zenu?
 
Akili kichwani,,Hisia nafsini,,,, maumivu moyoni
 
Phase 3 ipo hewani kwa sasa. Kuna watu wanaongelea haya matatizo kwa dhihaka lakini yapo.

Hudhani kuwa dhihaka hizo ni moja ya mambo hasi tuliyorithi tokea awamu ile.

Kujua tulipoterezea ni muhimu katika kujizatiti.
 
Ni hisia zako tu, kumbuka Corona ipo na inafanya vitu vyake.
 
Mipango ya Mungu
 
Phase zote ziko very selective...🤔🤔🤔🤔

Usisahau wasio na majina wengi wanaondoka kimya kimya.

Si unajua hata wakiona uzi una flash tanzia tegemea kusikia - "kwani zamani watu walikuwa hawafi?"

Wasio na majina wengi wanakufa kimya kimya kuliko hata hao wenye majina yao.
 
Hudhani kuwa dhihaka hizo ni moja ya mambo hasi tuliyorithi tokea awamu ile.

Kujua tulipoterezea ni muhimu katika kujizatiti.
Cha muhimu ni kuachana nazo. Adui bado tunae na kupambana nae ni wajibu wa kila mmoja wetu.
 
Kamanda dai katiba mpya...kifo ni lazima na wewe utalala siku moja. Kifo siyo siasa zenu za bavicha. Prof. Baregu ilikuwa COVID-19?
Wewe ni ibambasi wa Technical au majina yamefanana mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…