Hata sekta isiyo rasmi tupo tunaolipa Ila tu wachache. TRA wanapaswa kusajili kila mwenye shughuli inayomuingizia kipato. Hivyo vyeo alivyotaja Boss vikatwe kodi asilimia 50.Yaani ipelekwe kabisa sheria hata wasio sekta rasmi itafutwe namna walipe. Huo ndio uzalendo
Nchi nyingi kodi ya mapato/income tax ndio inachangia pakubwa.
Hapa kwetu wanabanwa tu walio sekta rasmi
Mama anaupiga mwingi labda mil500 per /monthNaomba kujua huyu namba moja aliyepo analipwa ngapi kama basic salary ili tujue tunaweza vuna sh ngapi kama kodi?
Nakumbuka Mkwere aliondoka akiwa na mshahara wa 35m kwa mwezi, Jiwe akaushusha hadi 9m.
Hao 13 NA 14 ndo wawe mstari wa mbele kupeleka kwa Kaizari vilivyo vya Kaizari
Watumishi wanaolipa P.A.Y.E nao pia wananua bidhaa Na kulipia VAT wanalipa pia tozo(kodi?) za EWURA kwenye mafuta na umeme n.kUnamaanisha PAYE?
Labda kwakua hakuna mikataba ya kazi ndio maana ni mgumu kulipishwa kodi...
Lakini tunalipia kwenye huduma na bidhaa kwa lile ongezeko la thamani ya kodi (VAT)
Mimi nipo kwenye kundi lenye ajira isiyo rasmi. Yaani naganga njaa
Yale malipo yote ya wabunge are they not legal!? Mbona hakuna kinachokatwa ..!?Any legal income must be Taxed!!! Utapata income kutoka kwenye Kodi halafu wewe hutaki kulipa kodi huo ni simply wizi
Napendendekeza tuanze mgomo wa kulipa Kodi za hiari. Mimi nilinunua kitu sidai ristiSomething has to be done.
Milion 40 kwa mweziNaomba kujua huyu namba moja aliyepo analipwa ngapi kama basic salary ili tujue tunaweza vuna sh ngapi kama kodi?
Nakumbuka Mkwere aliondoka akiwa na mshahara wa 35m kwa mwezi, Jiwe akaushusha hadi 9m.
Hao 13 NA 14 ndo wawe mstari wa mbele kupeleka kwa Kaizari vilivyo vya Kaizari
SawaJulius alikuwa mwehu tu kutuachia katiba mbovu na kauli yake ya kuogopewa. Mungu muweke Julius sehemu inayostahili akutane na aliowatesa katika operation vijiji vya ujamaa. Hafai
Mwenyekiti wa Maisha analipwa kiasi ganiKuna Siri kubwa sana ndani ya nchi yetu. Mshahara wa Rais na marupurupu yake ni siri. Mawaziri. Wabunge, Wakuu wa Mikoa/Wilaya, DEDs etc wote hawa mishahara yao ni siri kubwa na wengi wao hawalipi hata senti moja ya kodi.
Wewe ulijua kuwa yanatoka kwenye mshahara wake? Kawaulize wake wawili wa aliyekuwa makamu wa raisi, walipokuwa wakishindana kufanya maulidi, pesa walikuwa wakichukua kutoka kwenye mshahara wa mume wao? Au jibu zuri utalipata kwa yule mhasibu aliyeamua kubwaga manyanga kwa kulazimishwa kutoa pesa kwaajili ya wamam hao, wanasema wanywa kahawa!Na ww ukaamini kuwa jiwe alikuwa anapokea 9m?
Vp yale mafungu ya pesa aliyokuwa anagawa barabarani?
Ni wachache lakini wanakwepa kodi nyingi Sana.Ifike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nao walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile..
Hii ni orodha ya wasio lipa kodi Tanzania..
1. Rais wa Tanzania
2. Makamu wa Rais
3. Waziri Mkuu
4. Mawaziri wote
5. Ma Naibu waziri wote.
6. Wabunge wote
7. Spika wa Bunge
8. Wakuu wa Mikoa
9. Wakuu wa Wilaya
10. Ma RAS
11. Ma DAS.
12. Majaji wote..
13. Maaskofu na Makanisa yote
14. Misikiti na BAKWATA
15. Wamachinga wote
16. Boda Boda wote
17. Wauza Chips wote.
18. Wamiliki Daladala
19. Madereva Daladala, makonda wote
20. Madalali wa magari, Nyumba wote
21. Vyama vya siasa vyote..
Orodha ni ndefu mno ya watu wasio lipa kodi kabisa kwa vipato vyao.
Huku wanaokamuliwa.. watumishi na wafanyabiashara wenye leseni na maduka rasmi wanakamuliwa kupita maelezo..
Something has to be done....
Upinzani wanachelewesha maendeleoHii nchi imechezewa sana!
Si haba, kwakuwa anahudumiwa kila kitu, basi aanzishe kukatwa kodi kwa maraisi na wale wote waliokuwa exempted, hii itaenda mpaka kwa wale wanaopokea mishahara wakiwa wastaafu.Milion 40 kwa mwezi
Mpumbuvu wewe..Kila Mtu analipa kodi.
Wengine wanalipa Direct tax na Wengine Indirect Tax
Wengi ni wale wanaolipa Indirect Tax.
Coz kodi Hii kila unapofanya Purchase unakuwa umelipa.
Sawa Watu wangu!
Kwa hiyo Kila Raia wa Nchi hii au Mgeni anapofanya Manunuzi au Mauzo kuna kuwa Na Kodi inakatwa.
Hii inaitwa indirect.
Kwa Mantiki hiyo hata wewe unayelipa Direct tax ni lazima Indirect Tax ikuguse.
Ahsanteni
Tangu nijiunge if hii imenikosha. Tujenge hoja.hili kundi hasa approx top half wako comfortable na vipato vyao. Ni justification gani wanatupa kuwa ni nmuhimu kuanza na miamala kabla ya hawa Manyangumi yanayonyonya nchi huku wakituaminisha kuwa tujikamue kujenga nchiIfike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nao walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile..
Hii ni orodha ya wasio lipa kodi Tanzania..
1. Rais wa Tanzania
2. Makamu wa Rais
3. Waziri Mkuu
4. Mawaziri wote
5. Ma Naibu waziri wote.
6. Wabunge wote
7. Spika wa Bunge
8. Wakuu wa Mikoa
9. Wakuu wa Wilaya
10. Ma RAS
11. Ma DAS.
12. Majaji wote..
13. Maaskofu na Makanisa yote
14. Misikiti na BAKWATA
15. Wamachinga wote
16. Boda Boda wote
17. Wauza Chips wote.
18. Wamiliki Daladala
19. Madereva Daladala, makonda wote
20. Madalali wa magari, Nyumba wote
21. Vyama vya siasa vyote..
Orodha ni ndefu mno ya watu wasio lipa kodi kabisa kwa vipato vyao.
Huku wanaokamuliwa.. watumishi na wafanyabiashara wenye leseni na maduka rasmi wanakamuliwa kupita maelezo..
Something has to be done....
Halafu huyo hajafanya hata uchunguzi, daladala zinalipiwa Kodi ya mapato kwa mwaka,then unapewa stika unabandika kwenye kioo,na pikpiki za biashara pia ni ivyoivyo, daladala usilipie Kodi ya mapato majembe auction siwanaliburuza gari Hadi kwenye Yard yao,Hao bodaboda na daladala hizo shilingi 100/lita wanazokatwa ni za mikojo au wanzuki?
Hao Wabunge wenyewe ni wengi kuzidi uwezo wetu. Hilo hawaliangalii. Walitakiwa waanze kupunguza ghalama huko kwanza. Kila Wilaya ilitakiwa iwe na Mbunge moja tu.... Hili la viti maalumu halina maana. No wonder akina Big Sex Payers wako mjengoni.Nadhani umewashtua vyema, warasimishe hizi shughuli nyingine nyingi kama u-MC n.k, mtu kila wiki anaingiza 1.6m straight to the pocket un-taxed kisha vyanzo vipya vya mapato unasema ni tozo za miamala na laini ambapo kodi tayari ipo?
Ni uvivu wa kutumia akili alizoiba, si mnasema anaitwa Madely sijui!
Na kama tozo hizi zitafutwa, tuanzishe movement ya kuvunja bunge kwakuwa halituhusu wananchi na zaidi kama kamati ya baraza la mawaziri inaweza kupindua maamuzi ya wawakilishi wa wananchi, tunahitaji hao wawakilishi kweli?