Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,754
- 4,746
Dah! Ukikaa nchale ukisimama nchale.Hapana ana chamba sana avungii [emoji12]
Mpe papa , 🤣🤣. Yapo mengi we men tunapenda respect 🙏[emoji23][emoji23] unawezaje kumlazimisha mtu akuoe… ndio unamwambiaje “ Nioe naomba nioe “
Au nifundishee nimlazimishee
Dah! Ukikaa nchale ukisimama nchale.
Muombe mtoko mkae pamoja mpige fantasy (rejea uzi wa sex fantasy uko humi) muulize na kumwambia namna gani unampenda na kumhitaji(rejea tamthilia za kifilipino). Pia mwambie vitu gani unamisi na unapenda kuvipata kutoka kwake. Tuanze hivyo.
Mpe papa , [emoji1787][emoji1787]. Yapo mengi we men tunapenda respect [emoji120]
Kila la heri!Sawa ngoja nijaribu hiyo
Kifupi wanawake wengi wanaingia kwenye mahusiano wakitafuta uhuru wa kiuchumi(financial security), wanapoikosa hiyo ndio mwanzo wa mengine mengi.
Kila la heri!
🙏🙏🙏Blessed
kama unampenda mbona unamtangaza huku huo utakuwa ni ulaghai na unafiki kwa MangiHahah nampenda inatoshaa [emoji3]
kama unampenda mbona unamtangaza huku huo utakuwa ni ulaghai na unafiki kwa Mangi
Truth hurts. Ila hapo hupendwiAnabadilika zikipita siku 3 anarudii kama zamani
Kuna siku tuligombana nikamwambia tuachane
Alinijibu “ Mapenzi kwake sio kipaumbele
Ni kama starehe tu yeye anawaza pesa hata nikimuacha haitomuuma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa akuite nan akati umekuja kulia apaa.[emoji23][emoji23][emoji23] jingaaa
Kweli mimi ni wa kuitwa na watu Baki majina kama hayo
Na vodacome [emoji15][emoji15]
Hahaha..Unaweza kumuaga kwenda mahali akakwambia sawa ila hakuulizi unaenda wapi na kufanya nini, kiufupi hana amshaamsha.
Mimi mume wangu mchaga piaa kwakweeeli acha tukumbuke ma X zetuu[emoji2][emoji2][emoji2] nimevumilia mno nahisi wanawezana wenyewe
Truth hurts. Ila hapo hupendwi
Malaya TU wewe , SEMA jamaa hatoi pesa kindezi ndo maaana unalialia.
Mwambieni mchaga uyo akazie hapohapo