Hawapo romantic au huyu hanipendi tu?

Kumkalia mtu kimya siku 3 ni kumpenda huko??
Huwezi amini Kwa introverts ni kawaida sana anakaa kmya hachepuki na anakupenda vizuri na hana mpango wa kukutenda, kuna wako hawako emotional but they very royal ndio vile hawana mbwembwe.

Mtengeneze mwanaume unavyotaka wewe awe ukiona haitokei sio wako sepa. Mwanamke yafaa uwe vile imfaayo mwanaume wako nje na hapo wewe ni Gugu maji katafute hekalu lako
 
bila kutaja neno mchaga ningejua yule dem ananisema mimi.

huyo jamaa ana ego tu kama mimi,demu asiponichek ndo imeisha hiyo.
 
Huyo mkaka hakupendi asikudanganye kuwa kuna mambo yanamsumbua kichwani kuwa makini pia usiweke expectation kubwa kwake...MTU ANAYE KUPENDA ATAKUPA MUDA WAKE HATA DAKIKA 5
 
Umeliwaaaa ,busy kwa mtu umepandae huo ni uongo
Hisia zimeisha mnaenda tu kwa nguvu ya mazoea[emoji1787]

[emoji23][emoji23] kwani kutafutana ni lazima jmn… sijamzimikia kihivyo kwamba asiponitafuta nitaumwa na Nilivyo mgumu huwaga situmi hata ka sms cha uko poa nasubiri mpk atume yeye na asipotuma mbona tunamaliza mwezi hatuongei… kiufupi Kama nimetuma sms moja hajajibu huwa siongezi ya pili hata amalize mwaka hajajibu

Ni bora nianzishe uzi Jf kuliko kujitumisha sms Kama mbwai na iwe mbwai nitakufa na utamu wangu [emoji23][emoji23]
 

[emoji23][emoji23] nasubiri parapanda llie mda wowote saa yoyote akatokea mtu ninaye muelewa zaidi yake basi habari yake inaishia hapa …. Ngoja nijipe miezi mingine 3 ikiisha hiyo yupo hivihivi mapema sana tunaimba ile nyimbo ya billinas na nandy “bye “
 
Huyo kapata kura muda wa kampeni ulishapita

[emoji846][emoji846] hivi wale wanawake huwaga wanapendwa na wapenzi wao wanapewa kila kitu yaani mpk kuku wanaona gere huwa wanawapa nini hao wanaume…

Kiufupi watu wanaonijali sana unakuta mimi nawachukia na hisia sina hata nikijilazimisha unakuta ni wiki tu namchokaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…