mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
- Thread starter
- #321
Sasa akuite nan akati umekuja kulia apaa.
[emoji19][emoji19]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa akuite nan akati umekuja kulia apaa.
Hahaha..
Hivi hili nalo ni muhimu kimahaba?!
Siyo akiuliza kila kitu utasema unabanwa banwa sana?
Hivi yule mzee wa 50 hujamfata pm?
Afu unaweza kukuta baby wako naye ni mmoja ya wanaojibu hapa
Mimi mume wangu mchaga piaa kwakweeeli acha tukumbuke ma X zetuu
May be true may be false, be strong some texts a fiction in the making. Stay relaxed pls[emoji3][emoji3][emoji3] yaani una mademu wengi hivyoo unajishauaa
Anyway saw
Hivi bado hujakaa kuongea naye babamzungu?
May be true may be false, be strong some texts a fiction in the making. Stay relaxed pls
Huyo ndo anayekupenda sasa
Umeliwaaaa ,busy kwa mtu umepandae huo ni uongoYuko bize
Huwezi amini Kwa introverts ni kawaida sana anakaa kmya hachepuki na anakupenda vizuri na hana mpango wa kukutenda, kuna wako hawako emotional but they very royal ndio vile hawana mbwembwe.Kumkalia mtu kimya siku 3 ni kumpenda huko??
bila kutaja neno mchaga ningejua yule dem ananisema mimi.Nimekuwa na mahusiano na kijana kwa mwaka 1 na miezi 10 ila sijawahi kupata yale mahaba yenyewe. Ukitoa zile siku za mwanzo ni za mahaba, ile miezi 3 ya mwanzo.
Mfano kukuita majina mazuri mazuri like sweetheart, honey, mke n.k Yaani kiufupi hana matendo ya mahaba.
Unaweza kumuaga kwenda mahali akakwambia sawa ila hakuulizi unaenda wapi na kufanya nini, kiufupi hana amshaamsha.
Anaweza kukaa hata siku 3 hamjawasiliana na akikutafuta hamna hata stori.
Mwenzenu nimechoka natamani kupata mtu ambaye ana mahaba na mimi nifurahie.
Mpaka nimekumbuka Ex wangu alikuwa ananiita majina matamu hata kama ananidanganya.
Naombeni majibu-
- Ni tabia ya wanaume wa Kichaga?
- Ni Tabia ya mtu binafsi?
- Hanipendi?
Huyo mkaka hakupendi asikudanganye kuwa kuna mambo yanamsumbua kichwani kuwa makini pia usiweke expectation kubwa kwake...MTU ANAYE KUPENDA ATAKUPA MUDA WAKE HATA DAKIKA 5Sawa nimekupata… lakini kinachonishangaza tukiwa pamoja simaanishii kuwa nae kitandani no hata tukikutana mahali labda tunaongea huwa anasisitiza kwamba ananipenda tena sanaa nimvumilie tu kuna mambo yanamvuruga
Ila sasa ndio najiuliza watu wakivurugwa huwa hawapo romantic kwa wapenzi wao [emoji2370][emoji2370][emoji2370][emoji41]
Umeliwaaaa ,busy kwa mtu umepandae huo ni uongo
Hisia zimeisha mnaenda tu kwa nguvu ya mazoea[emoji1787]
Huwezi amini Kwa introverts ni kawaida sana anakaa kmya hachepuki na anakupenda vizuri na hana mpango wa kukutenda, kuna wako hawako emotional but they very royal ndio vile hawana mbwembwe.
Mtengeneze mwanaume unavyotaka wewe awe ukiona haitokei sio wako sepa. Mwanamke yafaa uwe vile imfaayo mwanaume wako nje na hapo wewe ni Gugu maji katafute hekalu lako
bila kutaja neno mchaga ningejua yule dem ananisema mimi.
huyo jamaa ana ego tu kama mimi,demu asiponichek ndo imeisha hiyo.
Huyo kapata kura muda wa kampeni ulishapita