Hawapo romantic au huyu hanipendi tu?

Hawapo romantic au huyu hanipendi tu?

HANIHUDUMII

PESA AKE AKINIPA NI MPK TUWE WOTE TENA VILE Mshamaliza maongezi kila mtu kwao ndio anatoa Ka elfu 20 [emoji57][emoji57]

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kiufupi ni bahili
Teh teh teh teh teh 😂😂😂 jamaa anakujali Sana huyo,

hataki kukuhonga kwa kujionyesha wakati hana.....mpe penzi shemeji yangu huyo....mpe vyote bhana.
 
Ubahirii nimeuridhiaa wala sina tatizo maana sina mahitaji makubwa ya kufanya pasipo kupata kwake pesa mambo yangu yasiende


Issue ni kuwa hayuko romantic yaani tunachart kama mandonga na mwakinyo
Sasa mchaga na uromantic wapi na wapi jamani🙆🙆
 
Ndivyo wachaga walivyo shost yaani wanaboa kishenzi sijui wakoje khaaa
 
Teh teh teh teh teh [emoji23][emoji23][emoji23] jamaa anakujali Sana huyo,

hataki kukuhonga kwa kujionyesha wakati hana.....mpe penzi shemeji yangu huyo....mpe vyote bhana.

Nimpe penzi tu na hayuko hata romantic manake nini
 
Waulize walio kwenye ndoa kwa miaka kadhaa kama wanachat kiromantic kama walivyokuwa kwenye urafiki na uchumba au ndoa ilivyokuwa changa

Huyo bwashee anakufundisha maisha halisi ya ndoa kama utakubali kuolewa naye

[emoji2][emoji2][emoji2]kunifundisha hiyo kwioo

Basi kama haupo romantic si unakuwa unamwaga mapene
 
Nimekuwa na mahusiano na kijana wa kichaga almost 1.10 year ila sijawahi kupata Yale mahaba yenyewe. Ukitoa zile siku za mwanzo ni za mahaba ile miezi 3 ya mwanzo.

Mfano kukuita majina mazuri mazuri like sweetheart, honey, mke n.k Yaani kiufupi hana matendo ya mahaba.

Unaweza kumuaga kwenda mahali akakwambia sawa ila hakuulizi unaenda wapi na kufanya nini, kiufupi hana amshaamsha.

Anaweza kukaa hata siku 3 hamjawasiliana na akikutafuta hamna hata story.

Mwenzenu nimechoka natamani kupata mtu ambae ana mahaba na mimi ni enjoy.

Mpk nimemis Ex wangu alikuwa ananiita majina matamu hata Kama ananidanganya.

Naombeni majibu-
  1. Ni tabia ya wanaume wa kichaga
  2. Ni Tabia ya mtu binafsi
  3. Hanipendi?
No. 3 ndio jibu sahihi kwa maswali yako yote.
 
Back
Top Bottom