Raphael focus
JF-Expert Member
- Nov 4, 2018
- 789
- 4,640
Ni 'Real Estate' zipi mtu mwenye 10M anaweza kuzinunuwa?UTT naona ni kupoteza muda mfano ukaweka million 10 maana yake kwa mwaka unapata million 1 kwa mwaka na kwa kila mwezi ni laki 1 itakuchukua miaka 10 kurudisha kiasi ulichoweka kwa akili timamu wewe unaona imekaa vizuri? Si Bora hata ukainvest kwenye kununua Real Estate
Umewahi kusikia msemo wa " Usiweke mayai yako yote kwenye kikapu kimoja?"UTT naona ni kupoteza muda mfano ukaweka million 10 maana yake kwa mwaka unapata million 1 kwa mwaka na kwa kila mwezi ni laki 1 itakuchukua miaka 10 kurudisha kiasi ulichoweka kwa akili timamu wewe unaona imekaa vizuri? Si Bora hata ukainvest kwenye kununua Real Estate
Si Bora hiyo hela ufanye biasharaUlitaka apate kiasi gani ili iwe investiment ya maana?
Kama umeweka mil 1 means kwa mwaka unapata laki 1 kwa mwezi ni elfu 10 na itakuchukua miaka 10 kurudisha hela ulioinvest Sasa mpaka kimeongezeka Nini?Umeongea vizuri sana mkuu. UTT sio fursa ya kutajirikia...bali kutunza tu pesa. Kuliko uweke hela bank ikaambatana na makato. Kwann husiweke tu UTT ambapo maybe in 1 year utaikuta oesa yako kama ilivyo, au japo imeongezeka kidogo. The same na kwenye hisa, japo kwenye hisa kama bei za soko zitashuka...basi utakuwa umengia hasara pia kidogo.
All in all, hisa na UTT ni kwa ajili ya mtu ambaye maybe anapesa zake za akiba ..na hataki kutakerisk kubwa kwenye kuwekeza kitu, maybe anaiweka pesa yake itulie kama ilivyo
Wewe mtu wa Upatu na M-Koba, tulizana kwanza uelewe utaratibu wa Bonds.Nilishasema haya mahisa, maUTT sijui maBOND ya serikali kuna VILIO VINAKUJA watu wakanibeza. SIKU INAKUJA WAPENDA DEZO ETI UNAWEKA MILLION KADHAA BAADA YA MIAKA KADHAA UNAPATA BILLION KADHAA madai yao "sina muda ya kufungua na kusimamia biashara wala miradi"
kigezo cha sina muda yanajificha majinga na mamtu mavivu mavivu, sasa unajiuliza kama wewe huna muda NANI ATUMIE MUDA WAKE KUKUTAJIRISHA WEWE ?!!
aise kuna majinga mavivu ya kujishugulisha yatakuja kupigwa tukio hapa SIKU YAJA.
Na wakati huu naona maUTT yamepewa promo kali na manyumbu mengi sana yameiikia wito, majinga mengine mpaka yamekopa kwenye mabenk kwenea "kuwekeza UTT"
Kwa uchache tu mnakumbuka nyakati fulani mwendazake alivamia mabenk na kuchota fadha za wafanyabiashara, maduka ya kubadili fedha na mengine yalifilisika kabisa mpaka leo MNAKUMBUKA ?!
Sasa kama mtu anaweza kuiamuru benk ichope pesa za watu sembuse kuchota hela mlizoweka UTT ambako mnaweza kupewa sababu za uongo na kweli ?!
Kwa taifa letu ambalo kauli ya mtu mmoja ndio inafuatwa na sio taratibu na taasisi imara mnaweka fedha sijui mabond ya serikali nyie mnaakili kweli ?!!
TATIZO WATANZANIA WENGI NI WAVIVU NA WAJINGA SANAAA.
siku yaja !!
Nilishawahi kufikiria kuhusu kupigwa ila sio kwamba wanaoweka ni wazembe na wavivu.Nilishasema haya mahisa, maUTT sijui maBOND ya serikali kuna VILIO VINAKUJA watu wakanibeza. SIKU INAKUJA WAPENDA DEZO ETI UNAWEKA MILLION KADHAA BAADA YA MIAKA KADHAA UNAPATA BILLION KADHAA madai yao "sina muda ya kufungua na kusimamia biashara wala miradi"
kigezo cha sina muda yanajificha majinga na mamtu mavivu mavivu, sasa unajiuliza kama wewe huna muda NANI ATUMIE MUDA WAKE KUKUTAJIRISHA WEWE ?!!
aise kuna majinga mavivu ya kujishugulisha yatakuja kupigwa tukio hapa SIKU YAJA.
Na wakati huu naona maUTT yamepewa promo kali na manyumbu mengi sana yameiikia wito, majinga mengine mpaka yamekopa kwenye mabenk kwenea "kuwekeza UTT"
Kwa uchache tu mnakumbuka nyakati fulani mwendazake alivamia mabenk na kuchota fadha za wafanyabiashara, maduka ya kubadili fedha na mengine yalifilisika kabisa mpaka leo MNAKUMBUKA ?!
Sasa kama mtu anaweza kuiamuru benk ichope pesa za watu sembuse kuchota hela mlizoweka UTT ambako mnaweza kupewa sababu za uongo na kweli ?!
Kwa taifa letu ambalo kauli ya mtu mmoja ndio inafuatwa na sio taratibu na taasisi imara mnaweka fedha sijui mabond ya serikali nyie mnaakili kweli ?!!
TATIZO WATANZANIA WENGI NI WAVIVU NA WAJINGA SANAAA.
siku yaja !!
Mkuu umesema mara nyingi kuhusu biashara,swali biashara gani?au biashara sio risk?na hadi mtu kapata hela ya kutunza ambayo gawio ni sawa na hakuna,unafikiri hana shughuli nyingine ya kumuingizia kipato?au hiyo hela aliyowekeza katoa wapi??Si Bora hiyo hela ufanye biashara
Kama unaweka million 1 alafu unavuna elfu 10 kwa mwezi kwenye ile asilimia 1 ya serikali sifikirii hii itamnufaisha kijana mpambanaji na faida yako unaanza kuonekana baada ya miaka 10 Huna uhakika utakuwa hai si Bora hata awekeze mwenye biasharaKama unaona haibadilishi kitu sawa
Inakuaje unapata double wakati Serikali inakupa rate ya 1% kwamba unajumlisha na kiasi ambacho umekiweka kama kianzio au inakuaje ebu nipe ufafanuzi kidogoMiaka inavyoenda kiasi cha faida kinaongezeka. Waza mtu anayeweka milioni 100. Ndani ya miaka 6 hiyo hela inakua double. Utt na masoko sio kitu cha kubeza. Wabongo tuache kutaka faida ya chapchap
Ukiona mtu ameweka hela huko, huyo hategemei hiyo riba imtajirishe. Hiyo ni namna ya kuweka akiba ya baadae akiwa mzee. Na mtu kama huyo ana mtaji mkubwa zaidi ya hela aliyoweka huko UTTKama unaweka million 1 alafu unavuna elfu 10 kwa mwezi kwenye ile asilimia 1 ya serikali sifikirii hii itamnufaisha kijana mpambanaji na faida yako unaanza kuonekana baada ya miaka 10 Huna uhakika utakuwa hai si Bora hata awekeze mwenye biashara
Ulisoma hesabu ndugu..? Ukiweka milioni 1 kwa sababu ya compound interest itachukua miaka 6 na miezi kadhaa hiyo pesa ku double. Ndio maana hapo juu sikutaka kuendeleza mjadala na wewe.Kama unaweka million 1 alafu unavuna elfu 10 kwa mwezi kwenye ile asilimia 1 ya serikali sifikirii hii itamnufaisha kijana mpambanaji na faida yako unaanza kuonekana baada ya miaka 10 Huna uhakika utakuwa hai si Bora hata awekeze mwenye biashara
Jipe muda wa kujifunza.Nilishasema haya mahisa, maUTT sijui maBOND ya serikali kuna VILIO VINAKUJA watu wakanibeza. SIKU INAKUJA WAPENDA DEZO ETI UNAWEKA MILLION KADHAA BAADA YA MIAKA KADHAA UNAPATA BILLION KADHAA madai yao "sina muda ya kufungua na kusimamia biashara wala miradi"
kigezo cha sina muda yanajificha majinga na mamtu mavivu mavivu, sasa unajiuliza kama wewe huna muda NANI ATUMIE MUDA WAKE KUKUTAJIRISHA WEWE ?!!
aise kuna majinga mavivu ya kujishugulisha yatakuja kupigwa tukio hapa SIKU YAJA.
Na wakati huu naona maUTT yamepewa promo kali na manyumbu mengi sana yameiikia wito, majinga mengine mpaka yamekopa kwenye mabenk kwenea "kuwekeza UTT"
Kwa uchache tu mnakumbuka nyakati fulani mwendazake alivamia mabenk na kuchota fadha za wafanyabiashara, maduka ya kubadili fedha na mengine yalifilisika kabisa mpaka leo MNAKUMBUKA ?!
Sasa kama mtu anaweza kuiamuru benk ichope pesa za watu sembuse kuchota hela mlizoweka UTT ambako mnaweza kupewa sababu za uongo na kweli ?!
Kwa taifa letu ambalo kauli ya mtu mmoja ndio inafuatwa na sio taratibu na taasisi imara mnaweka fedha sijui mabond ya serikali nyie mnaakili kweli ?!!
TATIZO WATANZANIA WENGI NI WAVIVU NA WAJINGA SANAAA.
siku yaja !!
UTT ina faida kwa wale waliojipata hasa ukiweka hela kubwa kama hiyo kwa hawa vijana hiyo mil 50 anaupata wapi? Ndio maana huwa suala la UTT linaibua mvutano kwasababu Kuna wengine ni vijana na wenye vipato vidogo na kundi lingine ni la wa Makamo na WazeeNdio ajue kua wanaoweka hela UTT sio wajinga..me UTT nimeweka hela hili inilipie kodi ya nyumba tu..
Fikiria unaweka mahala million 50 ambayo huna kazi nayo,ipo safe 99.99,ukiitaka unaichukua muda wowote,but ilipo kila mwezi inakuingizia 558,000/= tsh ambayo unalipa kodi..
Huku una biashara or kazi nyingine inakuingizia kipato,hiyo sio good deal??.
financial illiteracy Tatizo kubwa kwa watanzania ndio maana watu wengi wanazeeka masikini,hii mada kwa karne hii ya utandawazi haikutakiwa kujadiliwa kwa mlengo huu...
Kwahiyo kununua hisa za CRDB ni ujinga?Ujinga wake upo wapi, na amekupa mifano iliyo hai kabisa kuhusu power ya Rais wetu juu ya katiba na sheria za nchi au kipindi Jiwe anafanya ukwapuaji kwenye akaunti za watu na Bureau de Change kikosi kazi kikiongozwa na Bashite ulikuwa bado unanyonya?