Haya makabila yanaongoza kwa kuwa na single mama, kwanini?

Tunafanana, Mchagga nili-surrender kwa kunyosha mikono juu tukiwa na mtoto mmoja lakini kwa Muhehe two decades hapa raha mpaka zinapitiliza.
 
Ohooo sisi wanaInyonga na Mpimbwe tumekumbukwa 😝😝😝
Nilishawahi kuwa na Mpimbwe. Alikuwa rafiki yangu sana na sikuwahi kuona tabia mbaya labda tu ka ego kidogo which was OK....

Ila nashangaa Wanyaki hawajatajwa mpaka dakika hii. Kulikoni? πŸ˜‚πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ
 
Ushindwe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndo ukweli mzee Mimi ni mwanaharakati wa mitaani kwenye vitogoji vya Dar kila sehemu wamejaa ukiuliza wanakwambia kuwa wamezao wanahonga mazao wa Malaya wengine wanaenda kuvua huko wanakaa kambi wakirudi hawana wanauza kilichopo nyumbani hata panga na sufuria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…