Haya mambo jamii ikiendelea kuyachekea tutapoteza nguvu kazi za taifa

Hizo ndizo tabia za jamii zenye umasikini wa fikra mpaka kipato.....

Huo ndio ukweli MCHUNGU....kwani wangekuwa ni wazungu wala nisingewashangaa....
 
Kuna baadhi yao wao ndiyo wanawashawishi wanaume wenzao wawafanyie hivyo
Tumia akili hao tayari wamesha kuwa victim addicted...hata ukimlazimisha mtu kwa nguvu kutumia madawa ya kulevya baada ya muda ataanza yeye mwenyewe kuyatafuta bila ya kushurutishwa ...mashoga wote ni victim wa mabasha ila baada ya kuwa victim ndiyo wanafikia hiyo hatua ya wao kuwa addicted na ushoga hapa ndiyo wao wanaanza wenyewe kutafuta mabwana hata kwa nguvu ....wewe unacho zungumzia ni next after victim
 
Ana tofauti gani na wewe KIVURUGE....ulivyo wavuruga enzi zako! Nyie vivuruge ndio mnaleta watoto wasio na baba matokeo yake ...wanakuwa mashoga! Vipi ulifikia uamuzi gani ,kuhusu kumueleza mumeo ukivuruge wako wa enzi😊
 
Udugu nakosajee sasa? Kidampa ameyatimba huko, tabu napata mie kumtetea, na silipwii.
Em imagine? 😂😂😂😂😂
😹😹😹 Nakuona mwanasheria wao unapangua hoja kwa nguvu zote..!!

Ila huyo kidampa adabu hana kwann anatukana wamama wa watu jamani??
 
😹😹😹 Nakuona mwanasheria wao unapangua hoja kwa nguvu zote..!!

Ila huyo kidampa adabu hana kwann anatukana wamama wa watu jamani??
Nilipewa humu cheo, Katibu Muenezi, 😂😂😂😂

Ni vidampa wasiojielewa, unawezaje kwenda kwa shughuri na kuanza kubwata ujinga, mara utukane watu, afu hawa wengi wao hawana Elimu, wanakera.

Mie nasemaga, wapigwe tyuuh. 😂😂😂😂
 
Duh!! Wape elimu sasa.kumbe wewe mpaka elimu unayo aiseeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…