Hii mada kama Yako🤔Huyo ni Mimi kabisa napenda kukaa peke yangu sipend kuzungumza zungumza na watu Nina marafiki hawafiki 5 na sijawah kuwatafuta labda waanze wao nikishamaliza salam hunion
Mim sipend kuona watoto wakiwa kwenye shida au kunyanyasika Niko very emotional kwenye vitu vya huzuni
Utakuwa kibonge wewe.Huyo ni Mimi kabisa napenda kukaa peke yangu sipend kuzungumza zungumza na watu Nina marafiki hawafiki 5 na sijawah kuwatafuta labda waanze wao nikishamaliza salam hunion
Mim sipend kuona watoto wakiwa kwenye shida au kunyanyasika Niko very emotional kwenye vitu vya huzuni
Utakuwa kibonge wewe.
We muongo.Khaaa kwanini😳😳 huwez amini Nina kilo 56 Tena hapo najitahid ziendelee kupanda
Siku hizi wanaume wanawapima kwa kilo wanawake kama bidhaa?We muongo.
Sasa mume utapataje?
wale wadudu hawajui group o+ wala b, ukijichanganya unaukwaa“Nasikia hata umeme hawapati ata wapige ngozi kwa ngozi vipi”
Atapataje mume kama anajifungia ndani?😅Siku hizi wanaume wanawapima kwa kilo wanawake kama bidhaa?
Mimi na group Ohawapendi mgeni akae muda mrefu
hawapendi kukaa ugenini
wana marafiki wachache sana au hawana
hupenda kujifungia
hawapendi kuona mtu anaonewa mbele yao
wanaogopa sana mikopo mikubwa, hawapendi kelele za kudaiwa
Sawa sawa lakini je,? Umenijibu kitaalamu au na wewe unasikia tu?wale wadudu hawajui group o+ wala b, ukijichanganya unaukwaa
Nilifikiri sababu ya kilo,Atapataje mume kama anajifungia ndani?😅
Nasikiaga vibonge hawanaga baya hata kutunuku hawanaga baya 😁😊Utakuwa kibonge wewe.