Haya maneno yanayosambaa kuhusu Group O+ yana ukweli au ni tabia ya mtu ?

Propaganda tu mkuu, damu kazi yake ni kubeba Oxygen na virutubisho vingine kwenda kwenye cells mbalimbali za mwili na kuchukua waste materials kurudisha zinapotokea nje ya mwili zitolewa tu hamna kingine!

Personality yako inajengwa na makuzi, malezi, mafunzo, culture, elimu, imani, uzoefu, emotional quotient, intellingent quotient etc! Hayana uhusiano na damu wala group la damu kiongozi, achana na stori za saigon klub
 
Nakazia
 
hawapendi mgeni akae muda mrefu
hawapendi kukaa ugenini
wana marafiki wachache sana au hawana
hupenda kujifungia
hawapendi kuona mtu anaonewa mbele yao
wanaogopa sana mikopo mikubwa, hawapendi kelele za kudaiwa
Kama kuna ukweli hivi! Mimi kwenye kelele, ndiyo kabisaa! huwa sipendi za aina zote. Kiukweli ninapenda sana mazingira tulivu.

Halafu group O+ hatuna nongwa na mtu.
 
Utakuwa kibonge wewe.
Sipend story sana na watu... Napenda kukaaga kimya na mwenyewe yaan mtu akija au mgen napata tabu sipend Ile maongezmaongez
Juzi nilikua Kwa bas moro to dar aliyenikuta kwenye siti tukasalimiana baada ya hapo kimya kilitanda had nafika yaan nilitaman Ile siti niwe nimekaa mwenyewe 😄😄😄 sipend hekaheka za kuongea
 
Kama haikudhuru ni sawa tu mkuu.
 
Sipend story sana na watu... Napenda kukaaga kimya na mwenyewe yaan mtu akija au mgen napata tabu sipend Ile maongezmaongez
Juzi nilikua Kwa bas moro to dar aliyenikuta kwenye siti tukasalimiana baada ya hapo kimya kilitanda had nafika yaan nilitaman Ile siti niwe nimekaa mwenyewe 😄😄😄 sipend hekaheka za kuongea
Hivi ni kwanini kila mtu huwa anapenda kukaa peke yake hasa miaka ya hivi karibuni?
 
hawapendi mgeni akae muda mrefu
hawapendi kukaa ugenini
wana marafiki wachache sana au hawana
hupenda kujifungia
hawapendi kuona mtu anaonewa mbele yao
wanaogopa sana mikopo mikubwa, hawapendi kelele za kudaiwa
Nikweli kabisa na ugonjwa wetu mkuu ni mafua
 
O ipi?hivi mnajua kuwa blood group O positive ndio wengi kuliko makundi mengine ya damu
 
Back
Top Bottom