Haya maneno yanayosambaa kuhusu Group O+ yana ukweli au ni tabia ya mtu ?

Haya maneno yanayosambaa kuhusu Group O+ yana ukweli au ni tabia ya mtu ?

hawapendi mgeni akae muda mrefu
hawapendi kukaa ugenini
wana marafiki wachache sana au hawana
hupenda kujifungia
hawapendi kuona mtu anaonewa mbele yao
wanaogopa sana mikopo mikubwa, hawapendi kelele za kudaiwa
Hizo ni chai tu mkuu. Kama wewe ni O+ usiwe na wasiwasi. Ni maneno ya watu hayo. Hayana uhalisia wowote.
 
Huyo ni Mimi kabisa napenda kukaa peke yangu sipend kuzungumza zungumza na watu Nina marafiki hawafiki 5 na sijawah kuwatafuta labda waanze wao nikishamaliza salam hunion
Mim sipend kuona watoto wakiwa kwenye shida au kunyanyasika Niko very emotional kwenye vitu vya huzuni

nakwede97 mboni umefuta hii
 
Marafiki wa kufatana fatana sana ni ma-snitch bora mtu unakuwa na watu wawili watatu waku-share nao some moment siku ikipinduka hakuna mwenye habari na mwenzie mpaka kesho.

Nilichojifunza mimi kwenye maisha yangu rafiki zangu wa kweli ni wanangu,mama yao na mama yangu hao wengine ni kujifariji tu,nayapenda sana maisha ya kujifungia but napenda zaidi nikikaa na familia yangu
Siku hicho kibarua unacho kitegemea kikiota nyasi ni ngumu kupata michongo ya haraka sababu ya tabia yako mbaya ya kutokuwa na uhusiano mwema na watu.
 
Back
Top Bottom