Haya maneno yanayosambaa kuhusu Group O+ yana ukweli au ni tabia ya mtu ?

Haya maneno yanayosambaa kuhusu Group O+ yana ukweli au ni tabia ya mtu ?

hawapendi mgeni akae muda mrefu
hawapendi kukaa ugenini
wana marafiki wachache sana au hawana
hupenda kujifungia
hawapendi kuona mtu anaonewa mbele yao
wanaogopa sana mikopo mikubwa, hawapendi kelele za kudaiwa

Basi idadi kubwa ya watu duniani ndo wana tabia hizo,sababu duniani zaidi ya 30%ya watu duniani ni O+
 
Mke wangu ana hilo group, na kwakweli hapendi wageni. Mimi ni mtu mwenye marafiki na nafahamiana sana na watu. Sasa kila nikija na wageni nyumbani lazima anune.

Namvutia pumzi siku moja nimpe kichapo heavy sana ashike adabu yake. Akiamua kusepa asepe tu. Mimi sipendi mtu mchoyo wa vyakula na asiyependa wageni (wakiwamo ndugu).
 
hawapendi mgeni akae muda mrefu
hawapendi kukaa ugenini
wana marafiki wachache sana au hawana
hupenda kujifungia
hawapendi kuona mtu anaonewa mbele yao
wanaogopa sana mikopo mikubwa, hawapendi kelele za kudaiwa
Haya uliyoandika yote n ya uongo, hayana uhusiano wowote na Group la damu yoyote
 
TikTok kila mtu ni introvert, mnajimu, akimanifest anapata, kunywa damu za period, kila mtu Hana rafiki kila mtu group O

Upuuzi mtupu
Na ile kila mtu yuko abroad😏kwenye nyota ndio utachoka😂 kila kidem sidechiq wanaigana upuuzi.. kila mhaini ni introvert ila kupita kimya hawezi page yke na fyp imejaa upuzii tu😂
 
Mke wangu ana hilo group, na kwakweli hapendi wageni. Mimi ni mtu mwenye marafiki na nafahamiana sana na watu. Sasa kila nikija na wageni nyumbani lazima anune.

Namvutia pumzi siku moja nimpe kichapo heavy sana ashike adabu yake. Akiamua kusepa asepe tu. Mimi sipendi mtu mchoyo wa vyakula na asiyependa wageni (wakiwamo ndugu).
Massive attack 🤣🤣
 
wale wadudu hawajui group o+ wala b, ukijichanganya unaukwaa
Nishatembea na mwanamke + bila yw kinga maranyingi na niko vizuri. Hiyo ilikuwa 2017. 2024 nilipata mwengine nikampima yuko + nimekula zaidi ya mara tano. Kwahiyo mengine tunaushahidi nayo.
 
Na ile kila mtu yuko abroad😏kwenye nyota ndio utachoka😂 kila kidem sidechiq wanaigana upuuzi.. kila mhaini ni introvert ila kupita kimya hawezi page yke na fyp imejaa upuzii tu😂
Ujinga sana

Chosen one ndo kuwa mtaji daah 😂 siku hz mmehalalisha udangaji in a way it's normal thing
 
Maisha bila marafiki si afathari ukabe mwanafunzi ukale ugali wa bule miaka 30.
Marafiki wa kufatana fatana sana ni ma-snitch bora mtu unakuwa na watu wawili watatu waku-share nao some moment siku ikipinduka hakuna mwenye habari na mwenzie mpaka kesho.

Nilichojifunza mimi kwenye maisha yangu rafiki zangu wa kweli ni wanangu,mama yao na mama yangu hao wengine ni kujifariji tu,nayapenda sana maisha ya kujifungia but napenda zaidi nikikaa na familia yangu
 
hawapendi mgeni akae muda mrefu
hawapendi kukaa ugenini
wana marafiki wachache sana au hawana
hupenda kujifungia
hawapendi kuona mtu anaonewa mbele yao
wanaogopa sana mikopo mikubwa, hawapendi kelele za kudaiwa
Ndio ni kweli YAANI hayo yote ni group o na wengi ni last boneeeeeei
 
Sipendi mambo ya mazoea ya ovyo na watu, ndio mwanzo wa matatizo na umbea tuu, tunywe bia zikiisha kila mtu aende kwake na kama kuna shida tutasaidiana lakini isiwe obligation
 
Ni group gani la damu hawadhuriki wakikutana na mwenye HIV+ kuumwa na nyoka, wadudu kama nge, nyuki, manyigu/madondola, sungusungu/majimoto hawasikii maumivu/uchungu na kuvimba? Kuna watu watu waking'atwa na nyuki/manyigu hawavimbi lakini wengine wanavimba, hii inahusiana vipi na magrupu ya damu?
 
Kuna member kakomenti kwamba wadudu wa ukimwi hawajali magrupu ya damu, unaukwaa tu ukimwi, kwani kuna group la damu ambalo ni gumu kuambikizwa ukimwi? je wale ambao ni waathirika ila virusi haviwadhuru wao ni kuambukiza wengine wana group gani la damu? yaani wao wana HIV+ ila virusi havina athari kwao, wanaambukiza wengine wanaoathirika na virusi hivyo, ndio kusema kuna magrupu ya damu ni ngumu kuathiriwa na virusi vya magonjwa na mengine hayaathiriwi?
 
😄😃
 
😂😂 Hakuna ushahidi wa kisayansi unaothibitisha kwamba kundi la damu
lina uhusiano na
Haiba (personality)akili,
Ujeuri au upole, uaminifu au uvivu. Walianzisha wajapan na wakorea huko
 
Back
Top Bottom